Jamani twende sawa. Hivi kwa Dar Hotel za Nyota5 ni zipi. Nijuavyo ni chache sana hata 10-20 kama zinafika ni bahati. Ukienda Arusha zipo lakin nazo ni chache labda 5-10! Ukienda Mbeya, Dodoma, Mtwara, Morogoro, Tanga, Moshi, Iringa, Songea, Mara, Kigoma, sidhan kama kuna nyota5 labda nyota 3 na 4 angalau tena kwa kuhesabu.Hotel ya five star Tabora??????
Hivyo nyota 5 siyo mchezo.
Mwanza kwenyewe kama zipo ni chache mno, tena waweza kukuta kwa level za Kimataifa hamna kabisa