Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Hawa mafisadi wetu tu,wakianza ya anga sie tunaanza vya majini ama vya ardhini..wamechelewa,watabaaaana lakini ni lazima tuwatanue na tuwapige gori la kiutu uzima
 

Dr yupi?

  1. Dr Banna
  2. Dr.........
  3. Dr Mrema
  4. Dr Magufuli
Unaongea nini wewe...?

Nadhani anamaanisha dr.mkulu aliyewavulisha gamba wenzake AU dr.wa unguja aliyemaliza awamu yake mwaka jana (maana wote ni ma-dr.)
 
mpendwa,

mimi si mwanachama wa chadema wala si mwanasiasa, ninachangia tu mawazo hapa na kujifunza kutoka kwa wengine, kwa hiyo usinijumlishe humo pamoja na wenye chama chao.

nijuavyo mimi, waziri kivuli hana nguvu za kisheria za kiutendaji na hana hata bajeti wala fungu lolote. ni mbunge wa kawaida tu na ile kuitwa kivuli ni kama watch dog rasmi (japo kila mwakilishi ni watch dog kwa serilkali). nadhani wapo kama wasemaji rasmi wa kisekta tu wa kamabi ya upinzani ka mujibu wa kanuni za bunge. pia kama ujuavyo uchache wao pamoja na spika wa bunge kuwa kinyume chao, kunawafanya hata wakiwa na hoja muhimu kutupiliwa mabli kirahisi.

siamini kama wameshindwaa kuiwajibisha serikali. angalia kwa mfano suala la muswada wa katiba mpya, au hata kujivua magamba kwa chama tawala wiki ilyopita. utaona wana mafanikio mengi sana na hata serikali na cham wanajua. japo bado iko madarakani lakini inajua kuwa kuna wath dogs na ina-respond kwa hiyo inayoitwa nguvu ya umma. kama unafuatilia siasa za kwingineko duniani utagunduoa ccm inaheshimu sana changamoto za chadema na inajua kuwa ikishindwa kukabiliana nazo siku moja itanyang'anywa madaraka ya kuongoza serikali na bunge

thanks mkuu umeongea vema big up
 
Kwa hiyo mnadeclare kwamba mmeshindwa kuiwajibisha serikali?

Any way, hao mawaziri vivuli wana kazi gani hasa? maana ilikuwa mbinde nikadhani wanagombania kuonyesha uwajibikaji na ufanisi wao (kama sio kupata title na posho za vikao) - wanajua fika hawaiwezi serikali.

Hivi tuko safari moja kweli???
Manake sie wapinga ufisadi, lengo letu ni kuhakikisha pesa yetu, inayotokana na urithi wetu, rasilimali zetu, inatumika kwa mgao wa kueleweka, kuleta hali bora zaidi kwetu.
Wewe unaelekea wapi dada??
 
Hawa mafisadi wetu tu,wakianza ya anga sie tunaanza vya majini ama vya ardhini..wamechelewa,watabaaaana lakini ni lazima tuwatanue na tuwapige gori la kiutu uzima

Acha kutumia maneno yasiyofanana na great thinker mkuu................angalia hizo red bold...ni maneno tata na kama great thinker upaswi kutumia maneno hayo...hayo ni maneno ya wahuni vijiweni......
 

Dr yupi?

  1. Dr Banna
  2. Dr.........
  3. Dr Mrema
  4. Dr Magufuli[/ jamani hizo taarifa ni sahihi kabisa, takwimu hizidanganyi. Ukitaka kupima uhalisia wa haya angalia hata mvuto wa hotuba zake umekwisha.Dr.Slaa zilipendwa!.
 
Ikiwa ni takriban miezi sita tangu uchaguzi mkuu wa rais na wabunge, umaarufu wa DR umeshuka kwa asilimia 60% hii ni kwa mujibu wa shirika binafsi linalo jishughuliza na tafiti mbali mbali nchini hapa la clybase foundation, habari zaidi tembelea tovuti yao.

Google mkuu mbona mnapenda vitu laini laini, au na google ni fisadi

Hiyo Google ya kindengreko au?Hebu jaribu ku-Google mwenyewe uone results.

Bottom line is,MMEFULIA.Hamna jipya,mnahangaika kila jinsi kumchakachua Dkt Slaa lakini kwa uvivu wenu wa kufikiri mnashindwa kuelewa kuwa turufu yake ni kuwa na vision yake ambayo ni ya takriban kila Mtanzania mwenye uchungu na nchi yake.Badala ya kutumia raslimali zenu kurejesha hadhi ya chama chenu nyie mna-resort into character assassination.Sasa mta-assassinate characters za watu wangapi?Mna kazi ya kukabiliana na akina Rostam na Lowassa ambao a few days baada ya usanii wenu wa kujivua magamba wameanza kutumia vyombo vyao vya habari kuichafua serikali ya JK na CCM yake.

Ushauri mwepesi tu: kabla ya kukimbilia kuwachafua wengine,fanyeni jitihada za kudili na internal problems zenu.Only opinion poll inayo-matter kwa Watanzania kwa sasa ni utendaji wa Kikwete na serikali yake, na sio ya former candidates wa opposition parties.And even if ingekuwa hivyo,why Slaa and not Maalim Seif au Lipumba?Jibu la wazi ni kuwa Dkt Slaa anawanyima usingizi.
 
Sasa asingesema ungejuaje kuwa kuna ufisadi huo?Usahalifu au uwezo mdogo wa kufikiri?Kwani EPA ilianzeje?Hayo magamba ya CCM nayo yalianzaje?

Ni vigumu kwa kichwa cha elimu ya watu wazima kuelewa anachoongea genious kama Dkt Slaa

Hatupo kwenye yalianzaje, suala ni tunafanya nini kutokea hapa kwa manufaa ya leo na kesho.

Ni mjinga tu ndiye anayeweza kuona alichoongea leo Dr. Slaa kina uweledi wa kisomi!!
 
Hatupo kwenye yalianzaje, suala ni tunafanya nini kutokea hapa kwa manufaa ya leo na kesho.

Ni mjinga tu ndiye anayeweza kuona alichoongea leo Dr. Slaa kina uweledi wa kisomi!!

Bora mjinga kuliko hayawani asiyeelewa kuwa nchi yake inafisadiwa huku lenyewe linakenua tu mijimeno.Haya ndio matatizo ya vichwa vya short course kujiingiza kwenye mijadala ya wanazuoni.Kwa WELEDI wa kwenye vijiwe vya kahawa-kama sio vya wala unga-huwezi kuelewa hata chembe anachoongea Dkt Slaa!Anyway,sio kosa lako bali la uzembe wako
 
Ni mjinga tu ndiye anayeweza kuona alichoongea leo Dr. Slaa kina uweledi wa kisomi!!

That is strong. Lakini kama wewe unaujua uweledi wa kisomi ungetuanikia hapa kinyume chake wewe MPUUZI MPOTOSHAJI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom