Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
- Well, I totally disagree na Dr. Slaa na infact hii inaweza kumshushia hadhi yake na chama chake pia, kwanza slaa ni lazima awe mkweli kwamba EPA ni idea ambayo imekuwepo toka hata yeye akiwa CCM, tatizo halikuwa kuchukua hela za EPA kwa sababu katika kuzichukua zimekua zikichukuliwa kama mkopo na baadaye kurudishwa na wahusika, yaani toka enzi za TANU na baadaye CCM.

- Katika uchaguzi wa Rais 2005, kama kawaida CCM alikopa hela hizo, lakini tatizo ni kwamba kuna wasiohusika walioshirki katika zoezi hilo la kukopa hizo hela na hela hizo zilitumiwa na kundi la Mtandao kwa ruhusa ya Rais wa wakati huo, badala ya CCM kama chama, sasa DPP ana haki kikatiba yetu kuamua the final decision kesi gani iende kwenye sheria na ipi isiende in EPA's case, aliamua waliokopa wote wazilipe zile hela back walipozikopa, now it is debatable legally na politically I mean the integrity ya uamuzi.

- Now nimeshitushwa na Dr. Slaa kumuhusisha Dr. Malecela na EPA, huku inafahamika na kila mwananchi taifa hili kwamba hela za EPA zilitumika kwenye kampeni za Urais, against the very Malecela sasa alihusikaje na hizo hela hapo ninaomba msaada wa yoyote anayelewa FACTS kuliko ninazijua on this ishu!

William @ NYC, USA.

EPA zilitoka baada ya primary bwana na Malecela ndiyo alikuwa makamu mwenyekiti na lile lory la pesa yeye ndiye aliyelipokea bisha sasa
 
Tuliondoka Dodoma majira ya saa kumi kwenda Tabora kushuhudia tulicho tarajia, kwa kweli ilikuwa kama tulivyotarajia, watu walikuwa wachache sana tofauti na mikutano ya sept/october mwaka jana, na baada ya dr kuanza kutaja list ya wahindi mafisadi umati wa watu walianza kuondoka mkutanoni na kuacha watu wachache sana,huku wakipiga kelele za "tunataka hoja za maendeleo na siyo hadithi za ufisadi unaofanywa na wahindi wachache" nimerudi Dodoma na sasa niko kwenye tafrija ya chama lakini nitawawekea picha kidogo muone kwa macho yenu kile kilichojiri.

Ulikuwa unatumia usafiri gani ukafanikiwa kuwahi ???
 
Nadhani kuna vijana wametumwa na ccm kupindua ukweli ndani ya jf. Wengi wamejiunga jf mwezi huu, na wanachofanya ni kutete ufisadi ndani ya ccm. Watu kama hawa tunawaita washika pembe. Wanawashikia mafisadi yanakamua wanambulia kusifu ujinga bila kuona ndugu zao vijijini wanahali gani. Nyie vilaza wake up tunaibiwa wote.
 
Nimesikitishwa na maneno ya Prof Safari huko Tabora leo,
Pomoja na kujaribu kueleza ukweli kuwa CDM hakuna udini, ukiangalia hoja zake (copy below) zimejaa mambo yale yaleee, eti waislamu wanaonewa, waingie CDM kudai haki zao! haya ni mawazo ya kidini yasiyo na tija kwa taifa, na ni uhongo ule ule kujaribu kuonyesha ni waislamu tu wanaonyimwa haki TZ. Mbona anashindwa kueleza ni vipi waislamu wa Zanzibar wako nyuma kielimu na mambo mengine mengi pamoja na kuwa walitawaliwa na waarabu na si Waingereza anaowasingizia!

Namshauri kama ajenda yake ni kutetea haki za waislamu asichanganye kwenye siasa. Udini ni sumu mbaya sana Prof. wewe ni msomi mkubwa, tunategemea ueleze mambo yanayojenga na si kuleta chuki za kidini. Watanzania wengi bila kuangalia dini wala kabila wana watatizo yanayofanana, hatuwezi kuyaondoa kwa kujenga hoja zenye mwelekeo wa kidini.

*****************************************
Udini.
Wakoloni waliwagawa watu kwa njia za makabila ili wawatawale ,wakagawa watu kwa njia za udini mf.waingereza waliingiza dini na kjuweka watu wao serikalini , na waislamu wengi walikosa nafasi ya kusoma ndio maana hawakuingia serikalini mapema .
Waislamu walipigania uhuru ila , kutokana na waingereza kuwabagua , ndio maana waliamua kupinga ukoloni ili waweza kuweka serikali ambayo haiwabagui, anasema ugomvi wa Nyerere na shehe takadir kuhusu waislamu kubaguliwa , na anasema kuwa ndani ya CDM hakuna udini ila ndani ya nchi kuna tatizo la kihistoria la kidini.
Anasema kuwa ni mbinu ya serikali kuwagawa watanzania ili waweze kuwatawala .
Alipojitoa CUF na kujiunga na CDM alifuatwa na mashehe wakimwambia kuwa yeye ameamua kujiunga na wakristo , yeye akajibu kuwa walitaka yeye aende kwenye chama gani? Mbona CCM sio ya waislamu kwani ukiondoka JK wengi waliopo serikalini ni
Anasema yeye hajabatizwa na pia Slaa sio yohana mbatizaji na amewataka waislamu kuungana pamoja ili kupigania haki za waislamu kwani CCM ndio ambao wanawakandamiza waislamu hivyo ni bora wakajiunga na CDM kwa wingi ili waweze kudai haki zao tangu awali na wasisubiri , waingie cdm tangu mwanzo ili wawe sehemu ya kupigania haki zao na njia nzuri ni kuhakikisha nkuwa wanajiunga ili kuingiza hoja zao kabla ya cdm kuingia serikalini na ni lazima waislamu wakitaka madai yao yasikilizwe wanapaswa kuingia sasa na sio wawasusie cdm kwa hoja za udini halafu baadae waje walalamike .
Kuna haja ya kujiunga na cdm sasa.

Mtendee haki Profesa.Alichoongea ni ukweli unaokubalika sio kimtaani bali hata kitaaluma.Na mie ninyeandika haya ni Mkristo lakini mwalimu wangu UDSM alikuwa Dkt Sivalon,mhadhiri padre wa Kanisa Katoliki,na conclusion yake ndio hiyohiyo ya Prof.Sasa kama unataka kubisha for the sake of kubisha tu,that's fine.
 
Tuliondoka Dodoma majira ya saa kumi kwenda Tabora kushuhudia tulicho tarajia, kwa kweli ilikuwa kama tulivyotarajia, watu walikuwa wachache sana tofauti na mikutano ya sept/october mwaka jana, na baada ya dr kuanza kutaja list ya wahindi mafisadi umati wa watu walianza kuondoka mkutanoni na kuacha watu wachache sana,huku wakipiga kelele za "tunataka hoja za maendeleo na siyo hadithi za ufisadi unaofanywa na wahindi wachache" nimerudi Dodoma na sasa niko kwenye tafrija ya chama lakini nitawawekea picha kidogo muone kwa macho yenu kile kilichojiri.

Kwa nini uweke baadae na sio sasa? Kuna tofauti gani ya picha za baadae na sasa?

Au ndio unataka kutuletea ujinga wa Photoshop.......acha upuuzi bana

Alafu uandoka Dom Saa kumi to Tabora muda ambao mkutano unaanza? Then Tabora na Dodoma unaenda na unarudi wakati mkutano umeisha jioni sana? au ndio nyie mnaofuja mali za serikali kwa kupanda ndege za serikali kwa shughuli za kijinga jinga tu?
 
Tuliondoka Dodoma majira ya saa kumi kwenda Tabora kushuhudia tulicho tarajia, kwa kweli ilikuwa kama tulivyotarajia, watu walikuwa wachache sana tofauti na mikutano ya sept/october mwaka jana, na baada ya dr kuanza kutaja list ya wahindi mafisadi umati wa watu walianza kuondoka mkutanoni na kuacha watu wachache sana,huku wakipiga kelele za "tunataka hoja za maendeleo na siyo hadithi za ufisadi unaofanywa na wahindi wachache" nimerudi Dodoma na sasa niko kwenye tafrija ya chama lakini nitawawekea picha kidogo muone kwa macho yenu kile kilichojiri.
Ndugu yetu Gamba Jipya, najua mmetumwa kuja kulitetea gamba jipya humu jf, au baada ya M/M/kiti wenu Msekwa kuisema jf tishio, basi sasa mnashindana kujipendekeza kuitetea CCM kwa mlango wa nyuma!. Hii haitasaidia, dawa pekee ni kuingia kwa majina yenu, na kupangua hoja moja baada ya nyingine kwa utaratibu wa hoja kujibiwa kwa hoja na sio viroja.
Karibu jf, msaidieni MS.
 
Sauti ya Dr Slaa, ni sauti ya KIONGOZI.....
Sauti ya kiongozi, inaakisi UMMA
Pole sana Nape kwa kuwa unadhani unapambana na Dr Slaa, kumbe unapambana na UMMA!!!
 
Tuliondoka Dodoma majira ya saa kumi kwenda Tabora kushuhudia tulicho tarajia, kwa kweli ilikuwa kama tulivyotarajia, watu walikuwa wachache sana tofauti na mikutano ya sept/october mwaka jana, na baada ya dr kuanza kutaja list ya wahindi mafisadi umati wa watu walianza kuondoka mkutanoni na kuacha watu wachache sana,huku wakipiga kelele za "tunataka hoja za maendeleo na siyo hadithi za ufisadi unaofanywa na wahindi wachache" nimerudi Dodoma na sasa niko kwenye tafrija ya chama lakini nitawawekea picha kidogo muone kwa macho yenu kile kilichojiri.

Gamba jipya (uchafu mpya)hujakosea taka ni taka tuu ataungetunza kwenyechombo kipya bado unapolopaganda zileeeeee tulishawashitukiyaga zamanii
 
Tuliondoka Dodoma majira ya saa kumi kwenda Tabora kushuhudia tulicho tarajia, kwa kweli ilikuwa kama tulivyotarajia, watu walikuwa wachache sana tofauti na mikutano ya sept/october mwaka jana, na baada ya dr kuanza kutaja list ya wahindi mafisadi umati wa watu walianza kuondoka mkutanoni na kuacha watu wachache sana,huku wakipiga kelele za "tunataka hoja za maendeleo na siyo hadithi za ufisadi unaofanywa na wahindi wachache" nimerudi Dodoma na sasa niko kwenye tafrija ya chama lakini nitawawekea picha kidogo muone kwa macho yenu kile kilichojiri.

Gamba jipya (uchafu mpya)hujakosea taka ni taka tuu ataungetunza kwenyechombo kipya bado unapolopaganda zileeeeee tulishawashitukiyaga zamanii wenzako walishapita
 
- Well, I totally disagree na Dr. Slaa na infact hii inaweza kumshushia hadhi yake na chama chake pia, kwanza slaa ni lazima awe mkweli kwamba EPA ni idea ambayo imekuwepo toka hata yeye akiwa CCM, tatizo halikuwa kuchukua hela za EPA kwa sababu katika kuzichukua zimekua zikichukuliwa kama mkopo na baadaye kurudishwa na wahusika, yaani toka enzi za TANU na baadaye CCM.

- Katika uchaguzi wa Rais 2005, kama kawaida CCM alikopa hela hizo, lakini tatizo ni kwamba kuna wasiohusika walioshirki katika zoezi hilo la kukopa hizo hela na hela hizo zilitumiwa na kundi la Mtandao kwa ruhusa ya Rais wa wakati huo, badala ya CCM kama chama, sasa DPP ana haki kikatiba yetu kuamua the final decision kesi gani iende kwenye sheria na ipi isiende in EPA's case, aliamua waliokopa wote wazilipe zile hela back walipozikopa, now it is debatable legally na politically I mean the integrity ya uamuzi.

- Now nimeshitushwa na Dr. Slaa kumuhusisha Dr. Malecela na EPA, huku inafahamika na kila mwananchi taifa hili kwamba hela za EPA zilitumika kwenye kampeni za Urais, against the very Malecela sasa alihusikaje na hizo hela hapo ninaomba msaada wa yoyote anayelewa FACTS kuliko ninazijua on this ishu!

William @ NYC, USA.

Kwa kweli hapo kwa Malecela na EPA connection yake ni ya ajabu, nafikiri Slaa ndo mwisho wake ametaja taja sana, si mda mrefu ataumbuka tu.
 
Gamba Jipya, si busara hata kidogo ku-single out watu wa rangi fulani kwa makosa yanayofanywa na watu wa tabaka/kabila mbali mbali. Neno ulilotumia linaashiria kama 'wahindi' tu ndio wanautuhumiwa kwa ufisadi hapa nchini. Huu ni ubaguzi na upofu hatari sana kwani unataka tuamini kuwa ni jamii fulani tu ndio mafisadi. Ukweli ni kuwa ndani ya wanaotuhumiwa kuwa mafisadi wapo wamatumbi etc etc. Mimi nashauri usijenge mazingira ya ku-single out jamii fulani (i.e uhundi, uhaya, or whatever) kama ndio watuhumiwa wakuu. Please check your facts sheet (Mwembeyanga list, 2007).

Hata hivyo, I am very umpressed na bidii uliyonesha jioni hii hapa jamvini ya ku-parade your obsession kwa Chadema. Ni hivi punde tu umeleta post inayoonesha kuwa 'umaarufu wa Dr Slaa umeshuka'!!!. Sasa umekuja na hii reportage kutoka Tabora.

Sijui unawakilisha mawazo yako binafsi au/na ya kikundi fulani ila ningeshauri sana sana ubadilishe hii strategy ya ki-propaganda maana ni mtu aliyekosa mishipa ya aibu ndio anaweza kutoa hoja dhaifu kiasi hiki. Kwa kifupi hoja yajo haijengi, inabomoa. Tafadhali tuletee fito maana tunataka kujenga nyumba imara -Taifa imara. Karibu!
 
Kwa kweli hapo kwa Malecela na EPA connection yake ni ya ajabu, nafikiri Slaa ndo mwisho wake ametaja taja sana, si mda mrefu ataumbuka tu.
Tatizo lenu hamna information. lazima mkatae.
 
Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!

Pumba tupu. Slaa hakusanyi kodi kwa wananchi.
 
Kwa kweli hapo kwa Malecela na EPA connection yake ni ya ajabu, nafikiri Slaa ndo mwisho wake ametaja taja sana, si mda mrefu ataumbuka tu.
Fedha za EPA ziliendesha kampeni za uchaguzi kumsaidia mgombea wa ccm, Malecela Makamu Mwenyekiti kwa vyovoyte vile alikuwa mmoja wa wapanga mikakati ya namna ya kupata fedha kwa ajili ya kampeni usichoelewa nini sasa?
 
Tujulishane kama kuna majina zaidi ya hao,CCM wote ni mafisadi kwa sababu ya mfumo kubariki ufisadi.
 
EPA zilitoka baada ya primary bwana na Malecela ndiyo alikuwa makamu mwenyekiti na lile lory la pesa yeye ndiye aliyelipokea bisha sasa

- Hela za EPA zilichukuliwa kwa ajili ya kampeni ya CCM kwa kundi la Mtandao, sasa unasema Mtandao walimpa Malecela lori la pesa kwa ajili ya kampeni against Malecela? ha! ha! ha! ha! Sasa hapa Slaa ameharibu to the point kwamba hata credibility yake inaweza ikaharibika, licha ya ya chama chake!

William @ NYC, USA.
 
Kwa kweli hapo kwa Malecela na EPA connection yake ni ya ajabu, nafikiri Slaa ndo mwisho wake ametaja taja sana, si mda mrefu ataumbuka tu.

Yale yale ya Sheikh Yahya kumtabiria mgombea urais atayapambana na Kikwete kufa matokeo yake mnajimu huyo feki akaishia kunusurika kufa yeye mwenyewe.Why not wait until atakapoumbuka?
 
Acha upuuzi wewe,
Mhe.wasira Hana kashfa yeyote,hajawahi,Hana na wala hahusiki kwa lolote.wasira msafi sana kati ya viongozi bora na wanaotumainiwa na
ccm.msimamo wake ni kutetea wanyonge na amekuwa msatari wa mbele kupinga ufisadi.usiwaseme Watu usiowajua vizuri, Kama una ushahidi kuhusu huyu mhe. Tumwagie hapa ushahidi tuuchambue tujue mbivu na mbichi.otherwise the man is strong and wise!

wewe unamjua wasira vizuru' mzee wa bunda yule ni fisadi mbaya alikuwa analangua samaki analeta pale namanga unajua mtaji alitoa wp na unajua ni dili gani alifanya serikalini na akapata pesa? Kaulize uambiwe usimtete mtu usiye mjua
 
- Hela za EPA zilichukuliwa kwa ajili ya kampeni ya CCM kwa kundi la Mtandao, sasa unasema Mtandao walimpa Malecela lori la pesa kwa ajili ya kampeni against Malecela? ha! ha! ha! ha! Sasa hapa Slaa ameharibu to the point kwamba hata credibility yake inaweza ikaharibika, licha ya ya chama chake!

William @ NYC, USA.

Mkuu,najua hili limekugusa kwa vile imepigwa chini ya mkanda.Damu ni nzito kuliko maji.Unaonaje ukimshauri Mzee akawasiliana na mawakili wake kwenda mahakamani kusafisha jina lake badala ya kujaribu kutetea kwa maneno matupu?Unachosema hakina tofauti na walichosema Rostam,Lowassa,Karamagi,etc walipotajwa kwenye list ya kwanza ya mafisadi.
 
Kwa kweli Hotuba ya Dr. W. ilikuwa ya kusisimua na ilikonga mioyo ya watu wa Tabora. Ameahidi watarudi kwaajili ya Operation Sangara, alisema wana Tabora wataarifiwa lini itafanyika.

Ebu tupeni basi hiyo orodha mbona mnazunguka tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom