Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
mpendwa,

mimi si mwanachama wa chadema wala si mwanasiasa, ninachangia tu mawazo hapa na kujifunza kutoka kwa wengine, kwa hiyo usinijumlishe humo pamoja na wenye chama chao.

nijuavyo mimi, waziri kivuli hana nguvu za kisheria za kiutendaji na hana hata bajeti wa fungu lolote. ni mbunge wa kawaida tu na ile kuitwa kivuli ni kama watch dog rasmi (japo kila mwakilishi ni watch dog kwa serilkali). nadhani wapo kama wasemaji rasmi wa kisekta tu wa kamabi ya upinzani ka mujibu wa kanuni za bunge. pia kama ujuavyo uchache wao pamoja na spika wa bunge kuwa kinyume chao, kunawafanya hata wakiwa na hoja muhimu kutupiliwa mabli kirahisi.

siamini kama wameshindwaa kuiwajibisha serikali. angalia kwa mfano suala la muswada wa katiba mpya, au hata kujivua magamba kwa chama tawala wiki ilyopita. utaona wana mafanikio mengi sana na hata serikali na cham wanajua. japao bado iko madarakani lakini inajua kuwa kuna wath dogs na inarespond kwa hiyo inayoitwa nguvu ya umma. kama unafuatilia siasa za kwingineko duniani utagunduoa ccm inaheshimu sana changamoto za chadema na inajua kuwa ikishindwa kukabiliana nazo siku moja itanyang'anywa madaraka ya kuongoza serikali na bunge
For your information,waziri yoyote wa serikali akitoa hotuba,akileta muswaada au akitoa executive order yoyote,ni muhimu kwa waziri kivuli kutoa version yake! unless he/she agrees on it!.....thats just a no brainer!

kama wewe kicha cha kakakuona analyse pros and cons za aliyoyafanya Slaa. Kuna tofautu gani kati ya aliyoyafanya leo na aliyofanya mwembe yanga?`What is the implication kwenye kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida.

Members mwenye macho kasoma, mwenye akili isiyo ya panzi kaanalyse na kuchukua cha kuchukua.

@Miss Judith, mimi sio mwamnachama wa chama chochote cha siasa, sio mwanaharakati, ila nina mapenzi mema na mustakabali wa nchi yangu, nchi ya wanangu na wajukuu zangu, ndugu, jamaa na wengi wa marafiki zangu, wananchi wenzangu.

One love, stay blessed.

Wewe mbona huelewi ? The difference is in what we call "public awareness" ! This is extremely important. Though You will not see its results over one night , but believe me, changes are there. There is nothing hard than changing people's mentalities. It is a constant effort and needs patient! Go on Dr Slaa. We Support you and we are with you !!

kama wewe kicha cha kakakuona analyse pros and cons za aliyoyafanya Slaa. Kuna tofautu gani kati ya aliyoyafanya leo na aliyofanya mwembe yanga?`What is the implication kwenye kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida.

Members mwenye macho kasoma, mwenye akili isiyo ya panzi kaanalyse na kuchukua cha kuchukua.

@Miss Judith, mimi sio mwamnachama wa chama chochote cha siasa, sio mwanaharakati, ila nina mapenzi mema na mustakabali wa nchi yangu, nchi ya wanangu na wajukuu zangu, ndugu, jamaa na wengi wa marafiki zangu, wananchi wenzangu.

One love, stay blessed.
Implications utaziona baadaye keep on waiting huwezi kuweka msingi leo ikategemea matunda leo leo.

@Miss Judith, mimi sio mwamnachama wa chama chochote cha siasa, sio mwanaharakati, ila nina mapenzi mema na mustakabali wa nchi yangu, nchi ya wanangu na wajukuu zangu, ndugu, jamaa na wengi wa marafiki zangu, wananchi wenzangu.

One love, stay blessed.

and you too mai dia

Whether umaarufu wa Dr Slaa unashuka au kupanda should not worry you. What you should worry about ni impact ya 'movement' aliyoanzisha. Tayari ccm imeanza (imejidai) kujivua gamba, next itakuwa ni kujichuna ngozi?!!

Kwa kweli Hotuba ya Dr. W. ilikuwa ya kusisimua na ilikonga mioyo ya watu wa Tabora. Ameahidi watarudi kwaajili ya Operation Sangara, alisema wana Tabora wataarifiwa lini itafanyika.

Ikiwa ni takriban miezi sita tangu uchaguzi mkuu wa rais na wabunge, umaarufu wa DR umeshuka kwa asilimia 60% hii ni kwa mujibu wa shirika binafsi linalo jishughuliza na tafiti mbali mbali nchini hapa la clybase foundation, habari zaidi tembelea tovuti yao.

Dr yupi?

1. Dr Banna
2. Dr.........
3. Dr Mrema
4. Dr Magufuli
Unaongea nini wewe...?

Unashuka kwako na hao watafit wako!!! Mimi najua unapanda siku hadi siku, ulionaje maandamano ya kanda ya ziwa?

SAMAHANI SIJAWEZA KUIHARIRI ILA HAYO NDIO YANAENDELEA .NTAWAJUZA ZAIDI.

PROF.SAFARI.

Anasema kuwa ni wakati wa kudai nyumba za serikali kwa nguvu ya umma , kwani kwenda mahakamani sio muafaka kwani hata majaji wenyewe walijiuzia hivyo hawawezi kutoa haki.

Zidaiwe kwa nguvu ya umma ndio njia pekee ya kupata nyumba hizo kwani viongozi wengi wanakaa hotelini.

Udini.

Wakoloni waliwagawa watu kwa njia za makabila ili wawatawale ,wakagawa watu kwa njia za udini mf.waingereza waliingiza dini na kjuweka watu wao serikalini , na waislamu wengi walikosa nafasi ya kusoma ndio maana hawakuingia serikalini mapema .

Waislamu walipigania uhuru ila , kutokana na waingereza kuwabagua , ndio maana waliamua kupinga ukoloni ili waweza kuweka serikali ambayo haiwabagui, anasema ugomvi wa Nyerere na shehe takadir kuhusu waislamu kubaguliwa , na anasema kuwa ndani ya CDM hakuna udini ila ndani ya nchi kuna tatizo la kihistoria la kidini.

Anasema kuwa ni mbinu ya serikali kuwagawa watanzania ili waweze kuwatawala .

Alipojitoa CUF na kujiunga na CDM alifuatwa na mashehe wakimwambia kuwa yeye ameamua kujiunga na wakristo , yeye akajibu kuwa walitaka yeye aende kwenye chama gani? Mbona CCM sio ya waislamu kwani ukiondoka JK wengi waliopo serikalini ni

Anasema yeye hajabatizwa na pia Slaa sio yohana mbatizaji na amewataka waislamu kuungana pamoja ili kupigania haki za waislamu kwani CCM ndio ambao wanawakandamiza waislamu hivyo ni bora wakajiunga na CDM kwa wingi ili waweze kudai haki zao tangu awali na wasisubiri , waingie cdm tangu mwanzo ili wawe sehemu ya kupigania haki zao na njia nzuri ni kuhakikisha nkuwa wanajiunga ili kuingiza hoja zao kabla ya cdm kuingia serikalini na ni lazima waislamu wakitaka madai yao yasikilizwe wanapaswa kuingia sasa na sio wawasusie cdm kwa hoja za udini halafu baadae waje walalamike .

Kuna haja ya kujiunga na cdm sasa.

MARANDO.

Ameanza kwa kusema Slaa alishinda ila kura zilichakachuliwa na hivyo ndio maana Slaa ameamua kuingia kazini rasmi kujenga chama ili kiwe imara na kuweza kujiandaa na uchaguzi ujao .

Anasedma yeye ataongelea mambo matatu.(KATIBA , EPA , NA MAGAMBA YA CCM).

KATIBA .

Hii ilikuwa hoja ya CDM kwani iliyopo inawafanya mafisadi watamalaki, katiba ni maji, ni unga ni kila kitu ambacho kipo , ukishaweka katiba mengine yote yanawezekana .

Anasema JK alishauriwa na watu kuhusu katiba , ila aliweza kjuipata muswada wa sheria kutokana na taaluma yake ya kishushu aliupata mapema na kuisambaza a kwani jk hakuwa tayari kupata katiba .

Amewataka watanzania kuwa macho kwani nia ya ccm ni kuendelea na katiba iliyopo na sio kweli kjuwa wanataka katiba mpya.

Tofauti ya CCM na CDM kwenye katiba ni kuwa CCM wanataka iliyopo iwekwe viraka , na CDM wanataka mpya .

Cdm wanataka mambo yafuatayo kwenhye katiba mpya.

1. Kupunguza madaraka ya rais haswa ktk kuteua watu mbalimbali.

2. Viongozi wa wilaya wapigiwe kura na sio kuteuliwa na rais…..

3. Madini yalindwe na katiba

4. Power of recall kwa wabunge na madiwani

Kuhusu EPA na magamba ya CCM.

Ccm ndio gamba la watanzania na tunapaswa kuliondoa hilo gamba ccm na sio wao waondoane wenyewe

Ccm ndio gamba lenyewe na linapaswa kuondolewa moja kwa moja

Lissu amewafundishwa wabunge sheria .

Epa ni ya jk kwani ndio ilimuingiza madarakani.

Kikwete amesamehe wezi wa EPA wakati wezi wanapaswa kupelekwa jela .

Slaa alipotaja mafisadi ccm walisema ni uongo kuwa hakuna mafisadi , jk juzi kakiri kuwa kuna mafisadi wengi ndani ya chama na walitaja listi yao ya mafisadi , lowass,change na rostam.

Jk sio jasiri na hana ubavu wa kuweza kupambana na mafisadi wa ndani ya chama chake kwani hawezi kuchukua hatua .

Jk alishindwa hata kujua mafisadi dowans.

Kagoda .

Kuna visamaki vidogo vimeshitakiwa ila kagoda hawajapelekwa mahakamani ,rais alisema hawajui wahusika wa Kagoda ,

Kemhondo willium ni jina la bandia – John Kato mwajiriwa Caspian

Francis wilium jina bandia –Bharati goda na ni mwajiriwa caspian

Aliweka majeshi yake kwa siku tatu na majina halisi ni haya;

Na jk kama hawajui aende ofisini kwake atampa mpaka picha

Kama jk anataka atume watu ofisini kwake ili waende kuchukua picha .

Anasema yuko tayari kama jk akimtaka kujitolea apewe jalada la kagoda na atawafikisha mahakamani na wataishia keko.

Wengine kagoda ni malecela na Mangula .

Cdm tulimuita safari ili aje aweze kutueleza ni jinsi gani tunaweza kiutatua matatizo ya waislamu na pindi tukiingia madarakani tutakuwa tayari kuzitekelezaz kwani ccm kwa miaka 60 wameshindwa kutatua matataizo hayo.

DR.SLAA.

Ameanza kwa kuwataka maasikari kuacha siasa na haswa jana walipoamua kuzuia maandamano kwa madai kuwa hali ya nchi ni tete , amewataka polisi kuacha kufanya siasa.hiyo hali wameipima hospitali gani mpaka kujua hali ni tete , na pia pesa zimeibiwa ndani ya jeshi la polisi na hata mdhibiti mkuu amesema uozo wa polisi.

Sababu ya pili waliyotoa polisi kuwa hoja yetu ya maandamano imefutwa na serikali ,hiyo sio kazi ya polisi kusema kuwa maandamano yamevunjwa .

Polisi kuweni na uchungu na nchi hii kwani mama, baba , watoto wenu wanaumia sana kutokana na ufisadi wan chi hii, pia usalama wa taifa wanapaswa sasa kuamka na kulinda masilahi ya taifa na sio kulinda masilahi ya vio
Ungekuwa virus hakuna ant virus ambayo ingeweza kukuondoa, ndiyo nini au hujui ku quote?

Report ya Dec nadhani umaarufu utakuwa umeshuka by 90% by then atakuwa kama Mcain...hadi 2015 kama sykes.

Tafiti uchwara nani anazikubali? Ni wakati ule ndo mliweza kutudanganya na si sasa. Mtaishia kuhaha. Mtanunua kila kitu lakini nasema moto ni ule ule.

Kwa hiyo mnadeclare kwamba mmeshindwa kuiwajibisha serikali?

Any way, hao mawaziri vivuli wana kazi gani hasa? maana ilikuwa mbinde nikadhani wanagombania kuonyesha uwajibikaji na ufanisi wao (kama sio kupata title na posho za vikao) - wanajua fika hawaiwezi serikali.

Kama ulifuatilia uundwaji wa mawaziri kivuli haukuwa mbinde, labda wewe ulifuatilia bunge la nchi tofauti na tanzania, mbinde ilikuwa kamati nne muhimu za bunge, mawaziri vivuli hawana bajeti yoyote toka serikalini kwahiyo usitarajie kwamba mabadiliko katika nchi huletwa na mawaziri vivuli. Hata hivyo cdm imeonyesha uwezo mkubwa katika mambo mengi mfano kama utengenezaji wa bajeti kivuli ya serikali ilifanikiwa kuifungua serikali macho na sasa angalau mazao ya bahari na misitu kwa kiasi fulani yanaonekana ku-support bajeti ya serikali, mapato ya madini katika machimbo ya dhahabu na marekebisho katika mikataba ya migodi ya dhahabu yote hayo ni mafanikio ya cdm japo kwa mbinde lakini kwa kiasi fulani wenye serikali wametekeleza - sasa hapo ujue ni kuendesha kwa remote vipi wangekalia usukani unafikiri mafanikio yangekosekana???

Ccmu wote wachafu mafisadi wakitaka kuvua gamba waue chama manake pale kwenye top nec nzima chafu,

KIKWETE
ROSTA
CHENGE
LOWASA
MENGJI
MAGUFULI
HOSEA
MKAPA
MANGULA
SUMAYE
MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA

aliyesikiliza wengine atupatie

source-MPAMBANAJI YUKO KWENYE MKUTANO WA SLAA

Nani kutangaza list of shame- kwa uzinzi

1. Slaa
2..

hayo ni yako.una chuki binafsi.hizo tafiti zako za uchochoroni kawape ccm,hapa ni peoplessssss power.we ndio wale mliotumwa na chama cha magamba kuishambulia cdm.. Tumekushtukia

Ikiwa ni takriban miezi sita tangu uchaguzi mkuu wa rais na wabunge, umaarufu wa DR umeshuka kwa asilimia 60% hii ni kwa mujibu wa shirika binafsi linalo jishughuliza na tafiti mbali mbali nchini hapa la clybase foundation, habari zaidi tembelea tovuti yao.

...tupatie hiyo link au jina la tovuti.

Ccmu wote wachafu mafisadi wakitaka kuvua gamba waue chama manake pale kwenye top nec nzima chafu,

Yes. Ni kama vile leo chama cha Mubarak wa Misri NDP kimevunjwa rasmi na utawala mpya baada ya kuwapo madarakani miaka 40! Walichakachuwaaaa na kufanya ufisadiiii biula kujuwa kuna mwisho wake! BYE CCM, BYE -- leave us.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom