Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
DR. Slaa nahitaji kuungwa Mkono kwa vitendo na siyo kuishia kujadili kwenye mitandao tu.
 
Fedha za EPA ziliendesha kampeni za uchaguzi kumsaidia mgombea wa ccm, Malecela Makamu Mwenyekiti kwa vyovoyte vile alikuwa mmoja wa wapanga mikakati ya namna ya kupata fedha kwa ajili ya kampeni usichoelewa nini sasa?

- Mkuu hela za EPA legally zilikuwa ni za mkopo sio kwamba zilikuwa ni hela za wizi, however ni hela zilizochukuliwa na kundi la Mtandao, toka hii ishu ianze tumeona wahusika wote wakitajwa na kufikishwa kwenye mkono wa sheria, sasa leo the question ni kwamba Where was Malecela huko nyuma mpaka aje aingie leo? Halafu Mtandao walikuwa wanapigana na Malecela sasa ilikuwaje tena wakampa hela hizo hizo wanazompiga nazo? It does not make any sense at all!

William @ NYC, USA.
 
DR. Slaa anahitaji kuungwa Mkono kwa vitendo na siyo kuishia kujadili kwenye mitandao tu.
 
Gamba Jipya, si busara hata kidogo ku-single out watu wa rangi fulani kwa makosa yanayofanywa na watu wa tabaka/kabila mbali mbali. Neno ulilotumia linaashiria kama 'wahindi' tu ndio wanautuhumiwa kwa ufisadi hapa nchini. Huu ni ubaguzi na upofu hatari sana kwani unataka tuamini kuwa ni jamii fulani tu ndio mafisadi. Ukweli ni kuwa ndani ya wanaotuhumiwa kuwa mafisadi wapo wamatumbi etc etc. Mimi nashauri usijenge mazingira ya ku-single out jamii fulani (i.e uhundi, uhaya, or whatever) kama ndio watuhumiwa wakuu. Please check your facts sheet (Mwembeyanga list, 2007).

Hata hivyo, I am very umpressed na bidii uliyonesha jioni hii hapa jamvini ya ku-parade your obsession kwa Chadema. Ni hivi punde tu umeleta post inayoonesha kuwa 'umaarufu wa Dr Slaa umeshuka'!!!. Sasa umekuja na hii reportage kutoka Tabora.

Sijui unawakilisha mawazo yako binafsi au/na ya kikundi fulani ila ningeshauri sana sana ubadilishe hii strategy ya ki-propaganda maana ni mtu aliyekosa mishipa ya aibu ndio anaweza kutoa hoja dhaifu kiasi hiki. Kwa kifupi hoja yajo haijengi, inabomoa. Tafadhali tuletee fito maana tunataka kujenga nyumba imara -Taifa imara. Karibu!

mkuu .... inasikitisha kuona kwamba propaganda za udini zimekwama ... sasa wanaingiza na racism ... na hata xenophobia imeshindikana ... a square peg in a round hole
 
- Well, I totally disagree na Dr. Slaa na infact hii inaweza kumshushia hadhi yake na chama chake pia, kwanza slaa ni lazima awe mkweli kwamba EPA ni idea ambayo imekuwepo toka hata yeye akiwa CCM, tatizo halikuwa kuchukua hela za EPA kwa sababu katika kuzichukua zimekua zikichukuliwa kama mkopo na baadaye kurudishwa na wahusika, yaani toka enzi za TANU na baadaye CCM.

- Katika uchaguzi wa Rais 2005, kama kawaida CCM alikopa hela hizo, lakini tatizo ni kwamba kuna wasiohusika walioshirki katika zoezi hilo la kukopa hizo hela na hela hizo zilitumiwa na kundi la Mtandao kwa ruhusa ya Rais wa wakati huo, badala ya CCM kama chama, sasa DPP ana haki kikatiba yetu kuamua the final decision kesi gani iende kwenye sheria na ipi isiende in EPA's case, aliamua waliokopa wote wazilipe zile hela back walipozikopa, now it is debatable legally na politically I mean the integrity ya uamuzi.

- Now nimeshitushwa na Dr. Slaa kumuhusisha Dr. Malecela na EPA, huku inafahamika na kila mwananchi taifa hili kwamba hela za EPA zilitumika kwenye kampeni za Urais, against the very Malecela sasa alihusikaje na hizo hela hapo ninaomba msaada wa yoyote anayelewa FACTS kuliko ninazijua on this ishu!

William @ NYC, USA.

hahaha....expected response hiyo! Mwambie basi amshtaki Slaa kama anaona katukanwa! Unadhani wewe kuja hapa mtandaoni unaweza kusafisha jina? Nendeni mahakamani tuone ukweli! kila siku mnaimba na ccm hapa! Tunawauliza, ivi hichi chama kimefanya nini? Hamna jibu. kumbe ndio mlo wenu....
I dare to speak openly!!
 
DR. Slaa anahitaji kuungwa Mkono kwa vitendo na siyo kuishia kujadili kwenye mitandao tu.

- Great thinkers tunatakiwa kuunga mkono au ku-challenge hoja sio mtu, hapa tuna-challenge hoja sasa vipi hoja zikijibiwa na hoja badala ya zidumu fikra za Slaa! kama unavyoshauri!

William @ NYC, USA.
 
hahaha....expected response hiyo! Mwambie basi amshtaki Slaa kama anaona katukanwa! Unadhani wewe kuja hapa mtandaoni unaweza kusafisha jina? Nendeni mahakamani tuone ukweli! kila siku mnaimba na ccm hapa! Tunawauliza, ivi hichi chama kimefanya nini? Hamna jibu. kumbe ndio mlo wenu....
I dare to speak openly!!

- Mkuu Chadema mbona hawajampeleka Sophia Simba mahakamani kwamba wanapewa hela kutoka nje kuleta vurugu, halafu jaribu kujibu hoja kwa hoja kama huna basi wapo hapa, huu ni uwanja wa hoja sio viroja, so lete hoja bros! I dare to talk openly ndio maana ninaingia kama nilivyo na picha pale juu!

William @ NYC, USA.
 
Bwana Wiliam mbona inaonekana unatetea hoja ya Malecela kuhusika. Mimi nilimfahamu Malecela kwa faulo aliyocheza Biharamulo wakati wa uchaguzi mdogo. Mzee ni fisadi na mchoraji wa michoro mingi. Dr. Slaa aliwaeleza ukweli kuhusu matumizi ya gari Landrover Difender iliyokuwa ya serikali tena Halmashauri ya Wilaya ya Ngara na wakabisha kama unavyobisha. Documentation zipo .... Gari hilo nalifahamu sana!!! Lilibadilishwa namba kuwa T.... badala ya STJ .... na ni michoro ya huyo babu yako. USIMTETETEE ..... NINAJUA KINACHOENDELEA
Pole sana kutumia muda wako kupotosha JF
From KANSAS CITY, KANSAS STATE -USA.

- Hela za EPA zilichukuliwa kwa ajili ya kampeni ya CCM kwa kundi la Mtandao, sasa unasema Mtandao walimpa Malecela lori la pesa kwa ajili ya kampeni against Malecela? ha! ha! ha! ha! Sasa hapa Slaa ameharibu to the point kwamba hata credibility yake inaweza ikaharibika, licha ya ya chama chake!

William @ NYC, USA.
 
- Mkuu Chadema mbona hawajampeleka Sophia Simba mahakamani kwamba wanapewa hela kutoka nje kuleta vurugu, halafu jaribu kujibu hoja kwa hoja kama huna basi wapo hapa, huu ni uwanja wa hoja sio viroja, so lete hoja bros! I dare to talk openly ndio maana ninaingia kama nilivyo na picha pale juu!

William @ NYC, USA.

fear and worry amounts to desperation ...isn't it
 
Bwana Wiliam mbona inaonekana unatetea hoja ya Malecela kuhusika. Mimi nilimfahamu Malecela kwa faulo aliyocheza Biharamulo wakati wa uchaguzi mdogo. Mzee ni fisadi na mchoraji wa michoro mingi. Dr. Slaa aliwaeleza ukweli kuhusu matumizi ya gari Landrover Difender iliyokuwa ya serikali tena Halmashauri ya Wilaya ya Ngara na wakabisha kama unavyobisha. Documentation zipo .... Gari hilo nalifahamu sana!!! Lilibadilishwa namba kuwa T.... badala ya STJ .... na ni michoro ya huyo babu yako. USIMTETETEE ..... NINAJUA KINACHOENDELEA
Pole sana kutumia muda wako kupotosha JF
From KANSAS CITY, KANSAS STATE -USA.

- Malecela ni fisadi kwa sababu alienda kwenye uchaguzi wa Biharamulo na kubadili namba za magari ya serikali ili CCM ishinde, ndio maana Dr. Slaa amemuita fisadi wa EPA, well you are a genius!

William @ NYC, USA.
 
- Mkuu hela za EPA legally zilikuwa ni za mkopo sio kwamba zilikuwa ni hela za wizi, however ni hela zilizochukuliwa na kundi la Mtandao, toka hii ishu ianze tumeona wahusika wote wakitajwa na kufikishwa kwenye mkono wa sheria, sasa leo the question ni kwamba Where was Malecela huko nyuma mpaka aje aingie leo? Halafu Mtandao walikuwa wanapigana na Malecela sasa ilikuwaje tena wakampa hela hizo hizo wanazompiga nazo? It does not make any sense at all!

William @ NYC, USA.

Mkuu naona unatuchanganya EPA legally zililiuwa ni hella za mikopo.en heee tumebie

  • Legally zikakopwa kwa kampuni gani?
  • Na legally wahusika wa hizo kampuni ni kina nani?
  • Je Legally BOT nayo imekuwa benki ?
Ukiongelea EPA Tanzania hakuna legality yeyote ni wizi. acha siasa.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kwa wale wana CCM time is running out .Kikwete alitakiwa kufanya machache kumfunika MKapa sasa Yeye na aliyemtangulia hakuna tofauti.

JK naye alidangaya toto kuwa atarudisha nyumba kabla ya kuingia madarakani . Miaka saba bado amiri jeshi mkuu anashindwa kuchukua maamuzi mapesi ya kumjenga japo kidogo kwa kwa wanachi . Anamuogopa nani? kwa faida ya nani? Ya watanzania au ya wachache.?
 
Mkuu naona unatuchanganya EPA legally zililiuwa ni hella za mikopo.en heee tumebie

  • Legally zikakopwa kampuni gani?
  • Na legally wahusika wa hizo kampuni ni kina nani?
  • Je Legally BOT nayo imekuwa benki ?

Ukiongelea EPA Tanzania hakuna legality yeyote ni wizi. acha siasa.

- Hayo ni maswali BOT na Serikali, sio Malecela.

William @ NYC, USA.
 
- Mkuu Chadema mbona hawajampeleka Sophia Simba mahakamani kwamba wanapewa hela kutoka nje kuleta vurugu, halafu jaribu kujibu hoja kwa hoja kama huna basi wapo hapa, huu ni uwanja wa hoja sio viroja, so lete hoja bros! I dare to talk openly ndio maana ninaingia kama nilivyo na picha pale juu!

William @ NYC, USA.

Hoja gani umetoa? kuwa Malecela hakuhusika kwenye uchaguzi na hizo pesa kisa yeye ndio alikuwa mpinzani? Unataka kusema Malecela alikaa kando kwenye uchaguzi 2005? Hakuhusika baada ya kushindwa?
Pia hapa tunaongelea credibility yako kwanza! Tutegemee nini leo kwako wewe Malecela? Tungetegemea ukubali shutuma?hahaha
Wacha kutufanya maandazi sasa! This is the end of an era!
U dare to talk openly maana unajua huwezi enda chini. Tukienda mahakamani utasikia jadala limepotea, nk! Usijetudanganya kuwa wewe ni jasiri kupita wote hapa!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
HTML:
Jk sio jasiri na hana ubavu wa kuweza kupambana na mafisadi wa ndani ya chama chake kwani hawezi kuchukua hatua .

- Lakini mbona amewakimbiza CC na NEC kama hana ubavu? I mean this time Slaa amekosea sana!

William @ NYC, USA.
 
- Mkuu Chadema mbona hawajampeleka Sophia Simba mahakamani kwamba wanapewa hela kutoka nje kuleta vurugu, halafu jaribu kujibu hoja kwa hoja kama huna basi wapo hapa, huu ni uwanja wa hoja sio viroja, so lete hoja bros! I dare to talk openly ndio maana ninaingia kama nilivyo na picha pale juu!

William @ NYC, USA.

Labda uko mbali sana, alisha jitetea yeye na Membe kuwa alinukuliwa vibaya!
au hukusikia? hata kusoma? kusimuliwa je?
 
John samwel malecela ni fisadi na ndo maana alikuwa anajihita tingatinga. Alikuwa anafanya michongo mikali sana ya nguvu ili kufanikisha mambo ni sawa na mtu anayeitwa wasira alivyo kwa kikwete kumwita tyson. Malecele alifanya mambo mema mengi serikalini lakini akafanya machache mabaya sana alipokuwa makamu mwenyekiti - ccm kwa nia ya kutetea chama na hapo ndo anapohusika na ufisadi wa epa. Malecela alijua na alifanya kwa kujua anachokifanya. Fedha ya epa si mkopo kama malecela mdogo anayotaka kutuaminisha hapa. Ingekuwa mkopo basi zakia meghiji na dr. Bilal wasingekuwa na haja ya kuficha na wala mkopo haugeuki kuwa wizi hata siku moja ila kuna kuvunja uhaminifu kama hurudishi mkopo. Mr.w.j.malecela unaleta hoja mpya zenye lengo la kupotosha ukweli. Nakushauri uende kiwanja kupangusa ili upate masaa yako tu kuliko kuleta upuuzi huo jamvini.

Nakasirika sana kuona umasikini wa ndugu zetu tz kuna watu tuko nao hapa marekani wanauchekelea kwa kutetea uovu uliofanywa na watawala walioopo na waliopita. Unajua vizuri federal laws mr. Wiliam sasa unasema nini au unajidharirisha ukidhani huko mtanzania peke yako hapa usa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom