Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Ahsante sana kwa kutaja mafisadi.
Tatizo letu kubwa ni kuishi kwenye lindi la umaskini, maradhi na idadi ya wajinga kuongezeka. Je huku kutaja mafisadi kutaboreshaje maisha ya Mtanzania?
du umeshindwa kushirikisha ubongo na mikono yako wakati unatype nini?