Hoja zote za ufisadi anasema zitaludi uwanja umewaka moto,huwez amini ka uliza waliochoka kuibiwa na ufisadi wanyoshe mikono hadi polic kanyosha mkono,nimechoka
na mimi nimeweka mikono juu hata kama nipo kwa obama muda huu.
Wakuu napita maeneo ya CCM Lumumba kuna sherehe ya kukaribisha viongozi wapya wa chama na mwenyekiti na makamu wake wapo ila naona nimemsikia msemaji mmoja sijamfahamu anasema walisema hatuwezi tumeweza na sasa chadema watupe kazi! Kwasasa anaongea msekwa.ccm wanaomba kazi chadema! Waanze na ya taboraHivi Tabor HAMNA Network au network ya kusuasua hamna 3G so huenda GPRS inasumbua ila have that experience maana nilishakaa pale kwa mida kadha na nilikuwa nasumbua; ila pls jitahidini tupate update ya huko jamani
MAFISADI WAPYA HADI SASA NI ;
- John Kato mwajiriwa Caspian (KAGODA).
- Bharati Goda ni mwajiriwa caspian (KAGODA).
- John Samweli Malecela EPA
- Philip Mangula EPA
- John Magufuli nyumba za Serikali.
Dk ana chana rondumly,majina ya mafisad nayo yanatajwa rondumly hapa kamtaja na magufuri,pia walio kwapua epa ndo walimununulia jk helkopta
read btn linesHoja zote za ufisadi anasema zitaludi uwanja umewaka moto,huwez amini ka uliza waliochoka kuibiwa na ufisadi wanyoshe mikono hadi polic kanyosha mkono,nimechoka
mbona hamna kinachojiri hapa toka uko Tabora?
Duh,walahi tabora ni shamba sana kumbe
Wakuu nasikia tena kwa mbali sauti kama ya nape anasema kuna watu wamefukuzwa dodoma wamepanga kushirikiana na baadhi ya vyama na leo wako tabora kumchafua mwenyekiti wa ccm na familia yake! Eti sasa watawafukuza kwa nguvu! Kumekucha wakuu,kuna vita nahisi vya aina yake!shauri yako watu watajua umebeba bomu
kuna ndugu yangu yuko NEW YORK CITY leo ataua watu humu ndani
MAFISADI WAPYA HADI SASA NI ;
- John Kato mwajiriwa Caspian (KAGODA).
- Bharati Goda ni mwajiriwa caspian (KAGODA).
- John Samweli Malecela –EPA
- Philip Mangula – EPA
- John Magufuli – nyumba za Serikali.
MAFISADI WAPYA HADI SASA NI ;
- John Kato mwajiriwa Caspian (KAGODA).
- Bharati Goda ni mwajiriwa caspian (KAGODA).
- John Samweli Malecela EPA
- Philip Mangula EPA
- John Magufuli nyumba za Serikali.