Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
[/I] [/B][/COLOR]hebu kuwa kama mtu mzima wewe,au kakojoe ukalale! warushe live hata kama ni upuuzi wa mnropokaji slaa ati kodi zenu? nani yuko tayari kuona kodi zake zikichezewa kijinga vile ? no! subirini mjenge ikulu moshi kule hai
Hujui unachokiongea!! Tuondolee upuuzi hapa! Watu tunataka information unaleta ujinga!
 
Jamani jinsi kulivyo sloo kwa wanaTabora kuingia kwenye mchakato wa mageuzi pia wamekuwa sloo kutujuza yanayoendelea huko Tabota, Regia Mtema uko wapi?
 
Hilo nalo wazo. Nini mchango wako katika kuhakikisha hili linafanyika? au ndo kama kawaida watanzania kutafuta wapi hapaendi vizuri na kulalama badala ya kushiriki kuleta mabadiliko? Jukumu la kuleta ukombozi ni lakwetu wote, wale ni viongozi na wameweza kufanya lile walilofanya kwa resources chache walizo nazo na priorities hasa ukizingatia kazi ya uhabarishaji niya media. Kwakua unaona ipo haja ya kuawa na media strategy ingine ndani ya chama, unaonaje ukijitoa kama mchango wako katika ukombozi?

Unaweza kuliwezesha hili.. si lazima litoke kwa chama moja kwa moja. Kazi ya ukombozi ni yako na niyetu sote. Kuwa proud kwa kushiriki jitihada za ukombozi kwa kuwezesha hilo kutokea. Toa mchango wako sasa..,

Kutoa wazo ni mchango muhimu pia, tatizo watu mnafikiri mchango ni pesa tu! lazima watu wakumbushwe pale ambapo hawajajipanga vizuri.

By the way unauliza nini mchango wangu!! nimeshatoa, na si lazima nikitoa nitangaze!

Ndugu yangu mchango si pesa tu, mikakati pia ni muhimu! kwa taarifa yako kuna thread swala hili liliongelewa siku za nyuma, mi bado naamini wanatakiwa kufanyia kazi hili
 
[/I] [/B][/COLOR]hebu kuwa kama mtu mzima wewe,au kakojoe ukalale! warushe live hata kama ni upuuzi wa mnropokaji slaa ati kodi zenu? nani yuko tayari kuona kodi zake zikichezewa kijinga vile ? no! subirini mjenge ikulu moshi kule hai

Acha matusi.Unamwambie mwenzio awe kama mtu mzima ilhali wewe mwenyewe unaropoka kama mwendawazimu.Kosa la mlipakodi kudai haki yake ni lipi?Kwani TBC inaendeshwa kwa hela za mafisadi au walipakodi wote regardless ya itikadi zao za kisiasa?Kama upo tayari kuona kodi yako inatumiwa kwa akili na mafisadi kuongeza nyumba ndogo zao,mashangingi na mahekalu yao,kuna "wajinga" wanaopenda kuona kodi wanayolipa inatumika kawa mslahi ya taifa lao.
 
Hivi Tabor HAMNA Network au network ya kusuasua hamna 3G so huenda GPRS inasumbua ila have that experience maana nilishakaa pale kwa mida kadha na nilikuwa nasumbua; ila pls jitahidini tupate update ya huko jamani
 
Dk ana chana rondumly,majina ya mafisad nayo yanatajwa rondumly hapa kamtaja na magufuri,pia walio kwapua epa ndo walimununulia jk helkopta
 
Kutoa wazo ni mchango muhimu pia, tatizo watu mnafikiri mchango ni pesa tu! lazima watu wakumbushwe pale ambapo hawajajipanga vizuri.

By the way unauliza nini mchango wangu!! nimeshatoa, na si lazima nikitoa nitangaze!

Ndugu yangu mchango si pesa tu, mikakati pia ni muhimu! kwa taarifa yako kuna thread swala hili liliongelewa siku za nyuma, mi bado naamini wanatakiwa kufanyia kazi hili

Jambo jema kutambua kwamba unashiriki kwa hali na mali katika ukombozi wa taifa hili. Usife moyo endelea kutoa michango yako ya hali na mali naimani mawazo yako yataheshimiwa sana na chama.
 
Mangufuli kafanya ufisadi gani? Tufafanulie Dkt alivyoeleza!
 
Hivi Tabor HAMNA Network au network ya kusuasua hamna 3G so huenda GPRS inasumbua ila have that experience maana nilishakaa pale kwa mida kadha na nilikuwa nasumbua; ila pls jitahidini tupate update ya huko jamani

baba jose endelea kaka.........
 
Hoja zote za ufisadi anasema zitaludi uwanja umewaka moto,huwez amini ka uliza waliochoka kuibiwa na ufisadi wanyoshe mikono hadi polic kanyosha mkono,nimechoka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom