Anazungumzia juu ya nyumba za serikali na sasa muda umeisha wa kuendelea kuvumilia kuhusu nyumba za serikali lazima sasa zirejeshwe mara moja .
Mkapa anahusika na uuzwaji wa nyumba za Serikali.
Wale wanaosema kuwa slaa anamchukia jk kwa sababu ya dini . kwani alimshughulikia sumaye .
Mkapa na Magufuli kwenye kuuza nyumba za serikali na wao ni mafisadi .
Ndege za jk za kampeni zilitoka kwa watu walioiba EPA na ndio maana ameshindwa kuchukua hatua kwani anashirikiana nao .
Kama JK kawapa mafisadi siku 90 ndani ya chama chake nay eye Tunampa JK na eye siku 90 ataje fedha za mabango yake dola 1.5 milioni aseme zilitoka wapi zilizotumwa CANADA kutengeneza 2010 election .na yeye anapaswa kujitoa kama atashindwa kuchukua hatua hizo.
Kuna fisadi gani mpya hapo?
Toka umeanza kusikia ufisadi wa Kagoda, wa wa nyumba za serikali ni miaka mingapi imepita.
Wake up people.
Mbona wamejaa tele? Wewe ungependekeza Chadema wafanye nini?Kuwa na sera, mipango, mikakakti na malengo mbadala kuhusu uboreshaji wa maisha ya Mtanzania ndio njia pekee. Mwananchi akishasikia John Kato ni fisadi (tena hakuna mpango wa kuwawajibisha bali kusubiri mtu akapinge mahakamani) kutaboreshaje maisha?
Imefika wakati wa CHADEMA kuangalia upya viapaumbele vyao, kama wanataka mawazo waje hapa hapa JF tutawapa.
Je wao wana mamlaka ya kwenda kuwakamata hao mafisadi? hata kama wangekuwa na sera na mipango mizuri? Na hata kama wangewakamata, je mahakama na mahakimu wangetenda haki? Hao waliotajwa na CCM wenyewe wenye dola na kila kitu wamefanywa nini? Nadhani unachozungumzia ni KATBA tu hapo, la as long as hao chadema hawana uwezo wa kuwakamata at least watutajie hao ni akina nani, na wanafanya hivyo makusudi ili hao waliotajwa wawapeleke mahakamani na hapo ndo watakuwa na uwezo wa kutoa vithibitisho.Kuwa na sera, mipango, mikakakti na malengo mbadala kuhusu uboreshaji wa maisha ya Mtanzania ndio njia pekee. Mwananchi akishasikia John Kato ni fisadi (tena hakuna mpango wa kuwawajibisha bali kusubiri mtu akapinge mahakamani) kutaboreshaje maisha?
Imefika wakati wa CHADEMA kuangalia upya viapaumbele vyao, kama wanataka mawazo waje hapa hapa JF tutawapa.
KIKWETE
ROSTA
CHENGE
LOWASA
MENGJI
MAGUFULI
HOSEA
MKAPA
MANGULA
SUMAYE
MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA
aliyesikiliza wengine atupatie
source-MPAMBANAJI YUKO KWENYE MKUTANO WA SLAA
Ujinga mtupu,huyo padri hiki ndicho kilichompeleka Tabora?.Hana jipya aendelee kupuliza uchochezi usio na tija.Yeye mwenyewe Mwizi na fisadi mkubwa wa wake za watu.
Kama JK kawapa mafisadi siku 90 ndani ya chama chake nay eye Tunampa JK na eye siku 90 ataje fedha za mabango yake dola 1.5 milioni aseme zilitoka wapi zilizotumwa CANADA kutengeneza 2010 election .na yeye anapaswa kujitoa kama atashindwa kuchukua hatua hizo.[/SIZE][/FONT]
Huyu anafaa kufuata ushauri wa UVCCM, apelekwe Mirembe.
Serikali ndo inatakiwa iwapeleke watuhumiwa wa ufisadi mahakamani. Serikali ndo inamiliki na kuisimamia mali ya Uma, sisi wananchi kazi yetu ni kutoa ushirikiano ikiwemo kuwataja. Fedha za ufisadi zikirudi, tunaweza kujenga hospitali au nyumba za walimu kila shule. Bado huoni umuhimu wa kuwaandama hawa mafisadi ili tupate maendeleo?
Waliotajwa 2007 baadhi wamepelekwa mahamani, wengne bado, kwa nini tukae kimya? Hiyo ndio kazi ya chama cha siasa kuikosoa Serikali.
Dr. Slaa badala ya kueleza ufisadi uliopo nyuma ya hizo dola 1.5 Million za mabango yeye anamtaka JK aeleze huku akitambua fika kuwa JK hatasema chochote kuhusu hilo, huku ni kuwachezea akili ya wananchi.
Dr. Slaa!! next time kama una data eleza issue zilivyo ili wananchi nao waelewe fedha zao zinavyoibiwa na sio kuziachiaachia tu issues hewani,hii haikusaidii wewe wala chama chako na zaidi sana unaisitiri CCM katika hayo kama kweli yapo.
Maisha ya dr slaa hatarini sasa