CCM ni mfu atembeaye. List mpya ya mafisadi walafi hao ndio jibu sahihi la kuwa chama hiki kama kinajiita safi sasa ni mfa maji, na Nape ajue kama kapewa chama mfu ni ngumu mno kukijengea uhai tena. Kama anasahau kuwa kapewa ukuu wa wilaya kishkaji au kifisadi, watanzania wanalijua hilo. naye ni fisadi mtoto, ukimuunganisha na akina riz1, jan, beno, shigella, wote hao ni walinzi wa lile genge kuu la wezi na mafisadi wa taifa.
Nape mwenyewe kamshindwa kamanda Mnyika peke yake, ataiweza CDM? Mfupa anaoudodosa ulishawashinda Chiligati na Al-Sahaf Kinana. Mwenyewe atarajie anguko zaidi la CCM. Vijana sana wamejaa akili na utashi, wanajua CCM si chama, ni mfu, hivyo awepo Nape, Mkama au yeyote ajae, nchi na siasa zimewashinda na vijana hawadanganyiki tena kamwe.
go Dr Slaa, go CDM!