Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
huna hata aibu............asingekuwa ni yeye mngeweza hata kuvua gamba hilo na kubaki na bukta?...........leo anaondoa bukta sasa............mtajibeba

wakibaki na bukta lazima wacheze na hii kitu aisee
images
 
Una akili sana mkuu,..
Kuwataja tu haina maana,...
Atoe mda,kama kawaida,then wakiwa hawaja chukuliwa hatua watanzania waingie mtaani kuwafukuzia mbali!
najua akitoa mda hata kama ni siku mbili JK ata respond,...
Ila akitaja tu mh,....signature yangu itakuwa na ukweli milele

Du itabidi sasa CDM waanzishe idara ya kuratibu deadline, maana hadi leo zile za Mwanza hazijaisha, wametangaza nyingine 21, nategemea na Tbr atatoa 14.
 
Du itabidi sasa CDM waanzishe idara ya kuratibu deadline, maana hadi leo zile za Mwanza hazijaisha, wametangaza nyingine 21, nategemea na Tbr atatoa 14.

Mwanza JK alijibu baada ya siku mbili,alilia sana wakaona wampe nafasi kidogo
 
waache watajane then tunakamata wote tunafunga jela:A S 465:
 
tatizo kama wapo hawalet update!
nimepita hapo uwanjani chipukizi mambo hayaja anza nackia saa 10 kuna bendera za kutosha na midundo fulan kwenye spika na vipaza sauti ya kuhamasisha mabadiliko na nimeckia Dr. Katokea kigoma any way nitajongea huko mda c mrefu nitajuza yanayojiri
 
nimepita hapo uwanjani chipukizi mambo hayaja anza nackia saa 10 kuna bendera za kutosha na midundo fulan kwenye spika na vipaza sauti ya kuhamasisha mabadiliko na nimeckia Dr. Katokea kigoma any way nitajongea huko mda c mrefu nitajuza yanayojiri
Asante sana BABA JOSE tunakutakia kila la kheri, tunategemea updates za kiukweli
 
Orodha inachelewa kweli - subira inanishinda. NI vema tukajua mapema ili tuanze kuassess maoni na tambo za CCM baada ya kuipata list ya mafisadi wao. Kama na wao wanawajua wa CHADEMA wangeanika ili tulinganishe
 
Uwanja unaojulikana kama uwanja wa vita umefurika watu wote wakiwa na shahuku ya kutaka kujua nani na nani watajiunga katika orodha mpya ya mafisadi na ufisadi waliofanya.
Vijana wazee akinamama na watoto wote wapo hapa wakimsubiri mh dr slaa ili awajuze tayari uwanja umeshajaa na kinacho enderea kwa sasa ni wasanii kuimba nyimbo za uhamisishaji na vijana wa chuo kikuu cha saut tawi la tabora ambao hivi karibuni wamefungua tawi la chadema chuoni hapo wamekusanyika wote wakiwa wamevaliia gwanda za kaki nakuonyesha mshikamano wa hari ya juu. Nashindwa kuweka picha kutokana na ufinyu wa taaluma ya it lakini nikifanikiwa nitawawekea.
 
Ok,

Dr. Slaa yupo pamoja na Mabere Marando, Prof Safari, Fred M, na Lwakatare. Mchana wote ilikuwa ni matangazo sasa wanajongea mahala pa takatifu.

Du du du du! eeeh bwana eeeh!
 
Niko uwanjani Dk. Kaingia watu wanazidi kuja kuna wimbo unatumbuizwa yupo marando,prof safari,mpendazoe etc
 
Yaani sijui kwa nini nina imani na chadema kinoma najua kwa vyovyote lazima waichukue ikulu
Mungu ibariki PPPPPPeeeeepoooooz
 
Alikuepo mhamicshaj mapunda anaongea katibu mwenez smb Loc anamkaribisha m/kt
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom