Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Barikiwa mpendwa! Endlea ku2juza!
Mpendazoe ameanza kuongea sasa na anasema juu ya nchi kukosa uongozi kutokana na chama dhaifu cha CCM.

Anasema kuwa CCM haijajivua gamba kwani ameingia Zakia kwenye CC wakati yeye ndio alikuwa wazirio wa fedha wakati wa EPA na Kagoda, anasema kuwa Chiligati ndio aliwaambia wabunge wa CCM kuwa wale wanaopambana na ufisadi ndani ya chama watoke kwani hawana hoja kwenye kikao cha kamati ya wabunge.
anasema hapo hakuna gamba lililoptoka ila wameongeza kuimarisha magamba yao.

CCM haiwezi kujivua gamba kwani imepoteza dira ,

Uozo wa CCM umeanzia kwenye matawi kwani ukiona viongozi wa matawi wa CCM wakigombea wanauana wakati hakuna mshahara .

anasema kuwa
 
,Fyi Dk atatembelea wilaya zote kukijenga chama

Hii si mara ya kwanza Slaa kufika wilaya za Tbr, hakuweza hata kuweka tawi,mara hii aakwenda na kipi kipya? Ni lazima CDM ioge isafishe wahuni wahuni wake kwanza ili kukubalika Tbr.
 
Sasa kaingia Prof.Safari na ameanza kwa kuzungumzia uuzwaji wa nyumba za serikali na anasema waliouza sio waliojenga , na anataja maeneo mbalimbali zilikojengwa nyumba hizo .

Anauliza je Nyerere aliyejenga angesema kuwa agawane na wakina Kawawa wao Mkapa wangezikuta?

Anasema mzee ruksa angeamua kutoa ruksa wangezikuta?

Anasema kuwa majaji wanakaa hotelini , na gharama ni kubwa sana ,
 
aah jf mbona hapa inakuwa slow. inatupasa tupate member toka kila mkoa na taasisi. vip katika msafara hakuna mwana jf? angekuwa anatupa updates za kila tukio. anyway we ar still doing fine.
 
Kwa uzowefu wangu binafsi. Tuliopo Dar tutegemee kukosa umeme ktk maeneo mengi muda wowote kuanzia saa 12:30 hadi saa 4 usiku ili wengi tukose habari njema hiyo.
 
Mwanza JK alijibu baada ya siku mbili,alilia sana wakaona wampe nafasi kidogo

Ndio tabia ya watawala wasikivu, kwenu ninyi CDM ni chama lakini kwa serikali CDM ni kundi la wananchi, wakitoa madai ya msingi lazima watasikilizwa hii dio tabia ya CCM. Ni chama sikivu, unajua ni mara ngapi watu wamelilia mamilioni ya Slaa bila majibu?
 
Prof ndo anaongea,anakemea uuzaj wa nyumba na propaganda za udini kapewa dk 20 za upendeleo kwani leo ndo cku ya 1 kuongea toka amejiunga na cdm
 
Nape, ina maana unakiri mlikuwa mnacheza ngoma ya CHADEMA kabla ya kuvua magamba?

Hawa ndugu zetu wamepoteza mwelekeo, yaani hawana fikra, wanaishi kwa kuogopana na siyo kuelezana ukweli. Ina maana wote walikuwa hawaoni kuna matatizo, kwa nini wasijikite kwenye kuelezea mikakati badala ya kuongelea udhaifu waliokuwa nao? Hawajui kuwa wanazidi kuipandisha CDM? Ukitaka kichekesho nenda FB za baadhi ya viongozi wa CCM, so funny, eti hongereni kwa kujivua gamba! So what, why they didn't dare to take immediate action against all those who go against their chama policy? So shamefully to this chama.
 
Hilo nalo swali,..,yaani hata mi najiulizaga kila siku,hivi tv za bongo hakuna hata moja kwenye web,,.yaani hata ya serikali nayo hakuna....,yaani sipati picha kabisa
 
Hii si mara ya kwanza Slaa kufika wilaya za Tbr, hakuweza hata kuweka tawi,mara hii aakwenda na kipi kipya? Ni lazima CDM ioge isafishe wahuni wahuni wake kwanza ili kukubalika Tbr.

dont side track us, we are waiting for a decisive statement, list mpya ya mafisadi, na fyi matawi ya cdm yatawekwa si tabora tu bali kote. Waku nyie mtupe habari za tabora wachana na hao wanaojaribu kutu side track
 
mtu mzima akilia ujue kuna jambo au watu wamemshika pabaya
avatar15016_3.gif

ccm wameshikwa pabaya wanalia
avatar15016_3.gif

[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]Let your tears come. Let them water your soul[/FONT]. :yawn:
 
Jamani Dr bado hajaanza kuhutubia? Vipi kina nani na mafisadi wapya kutoka Chama Cha Magamba?
 
Hivi Tabora ni ngome ya chama gani? CCM au swahiba wao CUF? Watu wa TBR hawana mwamko kabisa -- kwanza wakati wa uchaguzi waliyumnbishwa na mahela ya siku moja tu na mkoa ukachagua Wahindi kibau kuwa Wabunge -- hadi wengine vikao vya juu vya CCM viliwatema!
 
Jamani list bado haijaanza kutoka? Tupeni habari mlioko jikoni, sasa huku twahamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom