Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Jamani list bado haijaanza kutoka? Tupeni habari mlioko jikoni, sasa huku twahamu.

Katika orodha ya MY ya 2007 yule aliyekuwa golikipa -- DB -- alishakufa -- inasemekana. Kwa hiyo orodha itabadilika kidogo. Hivi yule hatari kwa mabao ya ufisadi -- winga wa kushoto -- Na 11 -- JMK safari hii atapangwa position gani?
 
kocha.........................
 
Katika orodha ya MY ya 2007 yule aliyekuwa golikipa -- DB -- alishakufa -- inasemekana. Kwa hiyo orodha itabadilika kidogo. Hivi yule hatari kwa mabao ya ufisadi -- winga wa kushoto -- Na 11 -- JMK safari hii atapangwa position gani?

He! Umenichekesha. Na sentahafu Namba 5 alikuwa nani vile? Hakuwa BWM?
 
[QUOTE=Mjepu; mi nawajuza yanayo jili mi nakuacha utajibiwa na wakereketwa,fyi jembe marando limepanda prof kashuka,ukiona huu umati na wanavyoshangilia utajua watu wamechoka
 
dont side track us, we are waiting for a decisive statement, list mpya ya mafisadi, na fyi matawi ya cdm yatawekwa si tabora tu bali kote. Waku nyie mtupe habari za tabora wachana na hao wanaojaribu kutu side track

List mpya ya mafisadi anayo Slaa? hawa ndugu wa tbr itakuwa mpya lakini wewe na wana JF mmei compile mnaiita mpya?
 
Ahsante Koo kwa taarifa ila jitahidi picha mkuu na hiyo list mpya ya mafisadi
 
Jama mwenye picha a2rushie wengine 2po kanda ya kaskazini. 2nasubiria!!
 
Kwa uzowefu wangu binafsi. Tuliopo Dar tutegemee kukosa umeme ktk maeneo mengi muda wowote kuanzia saa 12:30 hadi saa 4 usiku ili wengi tukose habari njema hiyo.
He he heeeh!! Hivi mgao bado upo?
 
List mpya ya mafisadi anayo Slaa? hawa ndugu wa tbr itakuwa mpya lakini wewe na wana JF mmei compile mnaiita mpya?

Dont worry kama si mpya kwa wana JF basi itakuwa mpya kwako na kwa wengine, all the same wana JF mlioko huko tbr list ikitoka plz tuwekeeni hapa...ila kuna watu hapa tumbo moto sijui ni wenyewe!!!!!
 
There are currently 132 users browsing this thread. (52 members and 80 guests)
Narubongo kapotolo Chakaza Ivuga kuruti Short white Coutinho Don T KiparaDar Miss Judith tzjamani Mwita25 msaragambo Shalom Limbani OPTIMISTIC Rweye Katavi Wambandwa commonmwananchi Yetu Macho raybse Edson liverpoolfc TwendeSasa Gagnija ndaru kitungi Paka_Shume jogi Kishongo walonge Tofty kabila01 Rejao Frank kapama Lyceum STEIN Marehemu Aman Mlangaja Yusuphsabury Dio Miya Ronal Reagan Advocate Jasha Mpiga Nyoka Fasta fasta namboyo BRUCE LEE forty Elli

kwenye nyekundu yanagonga yana...di, yanagonga yana...di
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Katika orodha ya MY ya 2007 yule aliyekuwa golikipa -- DB -- alishakufa -- inasemekana. Kwa hiyo orodha itabadilika kidogo. Hivi yule hatari kwa mabao ya ufisadi -- winga wa kushoto -- Na 11 -- JMK safari hii atapangwa position gani?
Si ndio kapteni wa kikosi na kiungo mchezeshaji...
 
There are currently 132 users browsing this thread. (52 members and 80 guests)
Narubongo kapotolo Chakaza Ivuga kuruti Short white Coutinho Don T KiparaDar Miss Judith tzjamani Mwita25 msaragambo Shalom Limbani OPTIMISTIC Rweye Katavi Wambandwa commonmwananchi Yetu Macho raybse Edson liverpoolfc TwendeSasa Gagnija ndaru kitungi Paka_Shume jogi Kishongo walonge Tofty kabila01 Rejao Frank kapama Lyceum STEIN Marehemu Aman Mlangaja Yusuphsabury Dio Miya Ronal Reagan Advocate Jasha Mpiga Nyoka Fasta fasta namboyo BRUCE LEE forty Elli

kwenye nyekundu yanagonga yana...di, yanagonga yana...di
kishongo ni nani?
 
hahahahahahahahahaha.... Kishongo maskini,,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom