Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Huo uwanja wa vita unatosha umati wote? Maana umebomoka-bomoka sana, na je barabara ya kwenda isevya na hapo round-about panapitika au pamejazana watu mpaka Uyui sec.school?
 
Tuhabarisheni wakuu yanayojiri. Vipi mwitikio wa watu? vyoto (photos) vinahitajika wakuu tujuzeni
 
Rev . Masa ...upo .... habari ya siku nyingi...!
 
Uwanja unaojulikana kama uwanja wa vita umefurika watu wote wakiwa na shahuku ya kutaka kujua nani na nani watajiunga katika orodha mpya ya mafisadi na ufisadi waliofanya.
Vijana wazee akinamama na watoto wote wapo hapa wakimsubiri mh dr slaa ili awajuze tayari uwanja umeshajaa na kinacho enderea kwa sasa ni wasanii kuimba nyimbo za uhamisishaji na vijana wa chuo kikuu cha saut tawi la tabora ambao hivi karibuni wamefungua tawi la chadema chuoni hapo wamekusanyika wote wakiwa wamevaliia gwanda za kaki nakuonyesha mshikamano wa hari ya juu. Nashindwa kuweka picha kutokana na ufinyu wa taaluma ya it lakini nikifanikiwa nitawawekea.
wewe ziweke tu hapa kuna sehemu imeandikwa insert image zia-upload hata kama ni ndogo sis hapa tutazikuza usihofu
 
Polic safi walicndikiza msafala mkit anamkalibisha mkurugenz wa masuala ya bungu,smbd mrema pia yupo rwakatare
 
Safi sana mkuu Tabora kumelala sana lazima iamke tutafurahi kupata picha.
 
Muda si mrefu Dr. Slaa akiambatana na Prof Safari, Mabere, Fred M na Lwakatare wataanza mwendo wa huko uwanjani.
 
Jaman na2mia cm picha ctaweza ila wa2 kibao,wengine wanazid kuja ila uwanja uko nusu mpaka sasa mrema john anaongea ,anasema waongeaji ni wa 4,ataanza mpendazoe,prof safari,marando then litamalizia jembe Dk
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Jaman na2mia cm picha ctaweza ila wa2 kibao,wengine wanazid kuja ila uwanja uko nusu mpaka sasa mrema john anaongea ,anasema waongeaji ni wa 4,ataanza mpendazoe,prof safari,marando then litamalizia jembe Dk

bila hofu....endelea mkuu ...shukuran
 
asante sana weka picha tafadhali na mlio hapo tujuzeni nini kinaendelea
 
tabora kunani? Kasi ya update ndogo sana. Tunawategemea sana ndugu zetu mtupe habari kamili siyo kesho tupate habari chakachuzi kutoka magazetini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom