Tabora: Bodaboda yagonga Treni, Mwanafunzi afariki dunia

Hehehehe navo penda sifa sasa umekuja, Kuna mtu anaitwa David Bernoulli miaka ya 1700s aligundua kwamba fluids,Gas, air na object zikiwa kwenye speed kubwa pressure kwenye hyo fluid,Gas ,air na hyo object inapungua kulingana na speed yenyew,....sasa twende kwenye issue yako kwann watu wanaganda😎😎😁,huyo mtu akiwa jirani na treni pale pressure ya hewa kati ya treni na huyo mtu inapungua sana kulingana na speed ya train sasa ile hewa ambayo Iko nyuma ya yule mtu nyenyewe inakuwa kubwa kuliko ile ambayo Iko kati ya train na mtu,so hyo pressure ndo inamsukuma huyo mtu kuelekea kwenye train,kumbuka pressure huwa inatoka kwenye high kwenda kwenye low😎😎,..

Nakuongeza ukijenga jiko halafu ukaweka lile bomba la kutolea moshi juu,hata ukiliweka mbali na sehemu ya moto,moshi lazima utafata lile bomba lilipo ndipo utoke nje😁😁😁,yote hyo ni ktu kimoja kinaendeshwa na Bernoulli principles.....

So
High flow=low pressure
Low flow=high pressure

Ukitaka formula nayo naweza nikakumiminia ndugu mwanafunzi😁😁
Hahha Mwalimu unajua sana tena unaandika kwa mbwembwe kama zote vipi nikufanyie mpango TAMISEMI?
 
Nipeleke tu mtaa wa moto sana,😁😁,nkalime na matikiti huko, japo mimi ni mtu Afya sio teach by professional 😎😎😁😁,Tawala za mikoa na serikalini za mitaa unyama sana huko mkuu😁😁
 
Naomba kujua au kuuliza
Hv hz treni zikiwa tabora huwa zinafungiwa silencer?
Mbona huku tuliko hata kama umelala tren ikifika utasikia ni treni au huyo bodaboda alikuwa ni kipofu halafu ni kiziwi?
 
Hili niliweke sawa

Bodaboda wengi au asilimia 90 ni kuanzia form 4 kushuka chini Hadi la kwanza, tena sio hivo tu kati ya hao asilimia 100 ni wale watukutu shulen na wavuta bangi na wasela mavi

Sasa watu wa aina hiyo ni rahisi sana kukutoa roho maana wana undugu na Israel mtoa roho

Ushaur ukifika kijiweni tafuta bodaboda angalau mweny cheti cha kumaliza form 4 nje ya hapo umeweka maisha yako rehani

Bodaboda wenye kijitambua ni wale walifel lakn walikua sio watukutu sasa kiwatambua ndo kaz lakn wenye chet cha kidato cha nne kidogo kuwajua ni rahis japo napo usalama wako ni 50/50
 
Nakuelewa Mzee😎
Kwamba utamuuliza kama amemaliza form four kwanza😁😁😁,
 
Bomu jingine linakuja kwa waliopita pale Isaka,Kahama.

Eneo lote la Bandari Kavu limetiwa uzio mrefu kozi 15+

Treni inatokea kwenye fensi halafu ina cross barabara hapohapo, umbali kati ya barabara na fensi 10M or less.

Kuiona treni ikitokea fensini ukiwa road ni mpaka ukanyage reli maana zipo kama njia nne zinaikata barabara.

Bila barrier kuwekwa hapo,ni msiba unatengenezwa!!
 
Unakaa maeneo ya ndani ndani saanaa zaidi ya km3 unafanyaje ufike main road?
Tufanye bajaji hakuna kabisa
Huna usafiri binafsi
Kwea chuma Hy dadaa nakupepeza Hadi macho yatoe machozi. Mwendo wa buku c unaujua ?
Umbali mrf ujira buku shahidi Mungu mazish ya walimwengu.
 
Boda boda sijui huwa wana akili gani, yaan wako Wage Wage mnoo.
😭😭😭
Mimi huwa najiuliza akili za Bodaboda unazipata baada ya kuwa na bodaboda au anakuwa na hiyo akili kabla hata hajapata hiyo boda?maana kuna jamaa namjua alikuwa poa sana,ila baada ya kupata bodaboda naona akili sio yake tena...
 
Hili niliweke sawa

Bodaboda wengi au asilimia 90 ni kuanzia form 4 kushuka chini Hadi la kwanza, tena sio hivo tu kati ya hao asilimia 100 ni wale watukutu shulen na wavuta bangi na wasela mavi

Sasa watu wa aina hiyo ni rahisi sana kukutoa roho maana wana undugu na Israel mtoa roho

Ushaur ukifika kijiweni tafuta bodaboda angalau mweny cheti cha kumaliza form 4 nje ya hapo umeweka maisha yako rehani

Bodaboda wenye kijitambua ni wale walifel lakn walikua sio watukutu sasa kiwatambua ndo kaz lakn wenye chet cha kidato cha nne kidogo kuwajua ni rahis japo napo usalama wako ni 50/50
Bora uchukue mzee ufike,
Kuna hawa boda wa kilwa road na bajaji yan wako rafu kiasi kwamba unaweza ukadhani wako wenyewe tu katika hiyo barabara,nakila baada ya dk 2 lazima apige honi kukutahadharisha anakuja
 
Mimi huwa najiuliza akili za Bodaboda unazipata baada ya kuwa na bodaboda au anakuwa na hiyo akili kabla hata hajapata hiyo boda?maana kuna jamaa namjua alikuwa poa sana,ila baada ya kupata bodaboda naona akili sio yake tena...
Isije ikawa tank lile la petroli linawalevya vichwa vyao 😄

Ova
 
Maglev je?
Magnetic ya hzo train ni for train operation only na haziwezi kuvuta hata kiwembe wakat train ikipita karbu, and remember magnetic attract, opposite pole of another magnet, iron and other materials but not living organisms, plastic and other materials
 
Ni kweli zipo ambazo zina sumaku ila kuvuta vitu sijui ila asante kwa kunijuza
 
Magnetic ya hzo train ni for train operation only na haziwezi kuvuta hata kiwembe wakat train ikipita karbu, and remember magnetic attract, opposite pole of another magnet, iron and other materials but not living organisms, plastic and other materials
Acha kamba we mzee
 
Back
Top Bottom