Tabora: Bodaboda yagonga Treni, Mwanafunzi afariki dunia

Tabora: Bodaboda yagonga Treni, Mwanafunzi afariki dunia

Hili niliweke sawa


Bodaboda wengi au asilimia 90 ni kuanzia form 4 kushuka chini Hadi la kwanza, tena sio hivo tu kati ya hao asilimia 100 ni wale watukutu shulen na wavuta bangi na wasela mavi

Sasa watu wa aina hiyo ni rahisi sana kukutoa roho maana wana undugu na Israel mtoa roho

Ushaur ukifika kijiweni tafuta bodaboda angalau mweny cheti cha kumaliza form 4 nje ya hapo umeweka maisha yako rehani

Bodaboda wenye kijitambua ni wale walifel lakn walikua sio watukutu sasa kiwatambua ndo kaz lakn wenye chet cha kidato cha nne kidogo kuwajua ni rahis japo napo usalama wako ni 50/50
Kila kitu kikienda kombo mnasema bangi
kwani ganja ndo kipimo chenu cha ujinga wowote?
kwanini isiwe pombe au uzembe?
 
Ila kwanini moshi una tabia ya kumfuata mtu alipo?
Unavyotembea mwili wako unagandamiza hewa na kuacha nafasi, ile nafasi huvuta ule moshi kumfuata mtu , hii hutokea kwa sababu moshi ni mwepesi kuliko hewa ya baridi , ndio maana inakua rahisi moshi ku replace kwa haraka ile nafasi ya hewa ambayo mwili wa mtu umeigandamiza kwa kufanya mitembeo
 
Mimi huwa najiuliza akili za Bodaboda unazipata baada ya kuwa na bodaboda au anakuwa na hiyo akili kabla hata hajapata hiyo boda?maana kuna jamaa namjua alikuwa poa sana,ila baada ya kupata bodaboda naona akili sio yake tena...
Boda zinaharibu akili, sio buree kabisaa
 
Kuna boda jana kaburuzwa na Semi Singida mjini, yeye katoka barabara ya pembeni anaingia highway hataki kusubiri,Semi ikaburuza chini ya uvungu tairi ya mbele ya pikipiki ikanang'oka na yeye katobolewa vibaya sehemu ya Usoni sijui kama alipona.
Yaan 😭😭😭
 
Kuna boda mmoja tulimzibuaga vibao halafu tukamweka abiria chuma nikakamata mimi

yule pimbi ilibaki kidogo atuue anaovertake bila hesabu ilibak kidogo tupitiwe na tipa la mchanga

dogoo embu park kwanza..vibao kelebu vibao!
😂😂😂😂😂
 
Unavyotembea mwili wako unagandamiza hewa na kuacha nafasi, ile nafasi huvuta ule moshi kumfuata mtu , hii hutokea kwa sababu moshi ni mwepesi kuliko hewa ya baridi , ndio maana inakua rahisi moshi ku replace kwa haraka ile nafasi ya hewa ambayo mwili wa mtu umeigandamiza kwa kufanya mitembeo
Ukiwa ndani au nje?
swali la pili kwanin ukiwa kwenye pikipiki mwendokasi abiria ndo anapigwa na upepo mkali kuliko dereva?
 
Back
Top Bottom