Mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Sekondari Bibi Titi Mohamed, Jafar Abdul, ameweka rekodi ya kipekee baada ya kuiwezesha Wilaya ya Rufiji kushika nafasi ya tatu kitaifa kwenye somo la Jiografia kwa shule za serikali, na nafasi ya nane kitaifa ikijumuisha na shule binafsi kwenye matokeo ya...
Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi St. Louis wilaya ya Moshi mjini mkoani Kilimanjaro, aitwae Ian Macha (13), amefariki dunia, ikidaiwa kuwa ni baada kupigwa shoti wakati akijaribu kuingiza waya wa blenda kwenye swichi ya umeme, kwa lengo la kufanya mchezo usiku wa August 3...
Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa kati ya miaka nane hadi kumi, mkazi wa Mtaa wa Lilungu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, amefariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana.
Tukio hilo limetokea jioni ya Juni 21, 2026, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, mtoto huyo...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Bishop Bikira iliyopo Kata ya Nyakato Tarafa ya Bugabo Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, amekutwa amefariki dunia, baada ya kujinyonga kwa kutumia shuka.
Akizungumza na Waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasius...
Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa wamepakizana kuelekea chuoni,kugongana na treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kuelekea...
Wazazi wa mwanafunzi Mhoja Maduhu wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Mwasamba ya mkoani Simiyu wameomba uchunguzi ufanyike juu ya kifo cha mtoto wao kwa madai ya kuwa kifo chake kimesababishwa na kuchwapwa fimbo maeneo mbalimbali ya mwili wake akiwa shuleni.
Pia soma ~ Simiyu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa.
Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.