Kumbe nawe mmoja wao. Ukweli umefika japo unauma.
Btw, acheni basi na kamtindo ka kudandia mada na kupotezea mtiririko kwa kuingiza habari zenu za baa na mahaba.
Sikujua kama wewe ni mpenzi wa jukwaa la mahusiano na pia sifa za watu wa jukwaa hilo ni pamoja na kukaribishana chai na vikaoni baa. Asante kwa upendo wako kunifumbua macho kuhusu jukwaa ulilolitaja.
Hayo ni maandishi!Ni matamshi au maandis jamani?
Kila jamii ina tabia zake.
Ukienda kwa maaskari wanakuwa na tabia yao ya ujumla ambayo huitwa haiba.
Ukienda kwa waalimu hali kadhalika wana haiba au tabia yao.
Ukienda kwa wanafunzi ni hivyo hivyo.
Hapa kwetu. J. F. Kuna watu kutoka makundi mbalimbali,
je tukikaa kwa pamoja tutaibua tabia gani?
Wana JF,Jukwaa la SIASA-Opportunist (some)
Jukwaa la Mapenzi-wanafamilia
Jukwaa la DINI-WATATA WALE(Iko siku watatoana macho)
Jukwaa la science na technolojia-wazee wa 10%
Jukwaa la itelijensia-no comment kwa hawa watu
etc
Kwanini isianzishwe siku moja ambayo watu wa jf watakutana na kwa kifupi kila mmoja apewe kadi yake yenye namba pekee kwani najua wengine wakiambiwa wapewe kadi zenye majina basi hawatashiriki kabisa tamasha hilo. nadhani hii itakuwa ni mwanzo wa kufanya jf ni sehemu ya kujenga na kuunganisha watu
Godwine hata mimi niliwaza hivyo lakini je wewe godwine kama wewe ni 6 au EL utakuja? nahisi wengi hawatakuja wakihofia title zao na maoni yao hapa.
mix with yours
Kila jamii ina tabia zake.
Ukienda kwa maaskari wanakuwa na tabia yao ya ujumla ambayo huitwa haiba.
Ukienda kwa waalimu hali kadhalika wana haiba au tabia yao.
Ukienda kwa wanafunzi ni hivyo hivyo.
Hapa kwetu. J. F. Kuna watu kutoka makundi mbalimbali,
je tukikaa kwa pamoja tutaibua tabia gani?
Kila jamii ina tabia zake.
Ukienda kwa maaskari wanakuwa na tabia yao ya ujumla ambayo huitwa haiba.
Ukienda kwa waalimu hali kadhalika wana haiba au tabia yao.
Ukienda kwa wanafunzi ni hivyo hivyo.
Hapa kwetu. J. F. Kuna watu kutoka makundi mbalimbali,
je tukikaa kwa pamoja tutaibua tabia gani?
na'asi desi... ni jukwaa la watu buheri bila kwere
Hivi Acid wewe ni nani ghafla bin vuu naona Tindikali mbona umebadili jina . mheshimiwa...ama hizi ndio mojawapo ya Tabia za JF?
Mi naona JF imegawanyika makundi mawili, la Rev Masanilo na la Malaria Sugu...
Full kuvutana kwenye kila idara
Kwakuwa mimi ni mgeni humu hata week sijamaliza kama Tabia ni hizo hapo PRETA basi hakuna shaka ni watu wa kuigwa katika jamii ya sasa.Jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki - hawa wana tabia ya kujaliana, kupendana na ni wanafamilia kwa ujumla, hawaogopani na wengi wao wanafahamiana kwa sura na hata familia zao zinafahamiana. Ni wacheshi hawana jazba japo kuna baadhi ya watu huwa wanajaribu kuwachafulia hali ya hewa kwenye jukwaa lao lakini wao huwa wapole na waelewa.