Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

Huwa tunagombana sana na bi mkubwa wangu tabia yake ya kunipamba sana kwa rafiki/jamaa zake mtaani....ukimpa habari njema au taarifa ya mafanikio fulani uliyoyapata basi mtaa mzima utajua, tena hapo we haupo,.....siku unakuja kitaa unaanza kuhadithiwa, "nasikia umenunua kiwanja bwana, hongera Sana", imefikia stage sasa nikiwa na jambo langu napiga kimya tu.

Let's meet at the top, cheers

Hahahahaha anajivunia
Sijui wale watoto wao ni mawaziri waanajisikiaje
 
me pia Bi Mkubwa ana tabia hiyo, dawa yake ni kunyamaza kimya tu. Tena anaongeza na chumvi....yaan bi mkubwa angu akikusimulia kuhusu mimi lazima udate na nikikutana nae mbele ya mabest zake full ma-hug. Dah Bi mkubwa bhana

Vipi na ya kitambulishwa kila sehemu hata pasipo na ulazima
 
-Mimi sipendi rafiki kunipigia simu Hana cha maana cha kuongea..yaani Ni bla bla zisizo kichwa Wala miguu
-Sipendi rafiki ambaye hajui privacy.ukiwa karibu na Mimi nikigundua wewe sio msiri hata kwa issue za kawaida tu,naweka distance kali
Itakuwa unagegedwa sana yaan afu na watu tofauti. Privacy has its limit. Usiri ukizidi sana unakuwa ujambazi.
 
Sipendi kelele iwe kutoka kwa Mama/ndugu

Sipendi kuambiwa nini cha Kufanya Katika maisha yangu

Sipendi tabia ya Dada angu fulani akikufanyia kitu mpaka atangaze..yani ana ile bila mimi kitu fulani kisingefanyika..bila Mimi fulani asingekuwa hivi.😏

Sipendi tabia ya marafiki wanaoniongelea vibaya iwe kwa mpenzi au watu wa karibu

Sipendi tabia za marafiki wanaojifanya wanamjua sana mwanaume wangu na kujichekesha chekesha ovyo..mfyuuuuu
Tabia ya kipuuzi, ngoja nikaanzishe uzi 😂
 
Tuwazoee tu mkuu mama zetu,maana wangu naye yuko hivyo hivyo letsay mmeongoza kwenda mahala,mkikutana na mtu anaanza kukutambulisha huyu ndo flani anaishi sehemu flani anafanya kazi flani yaani hawezi kusalimiana na mtu asikutambulishe mpaka unakoishi na mambo kibao,basi mi sipendi,napenda aseme tu huyu ni mwanangu kaja kunitembelea basi!!!!!vingine asubilie akiulizwa!!all in all nampenda sana na napenda kuongozana naye kila sehemu ninapokuwa nyumbani!!

Na mama angu hivyo hivyo Yaan ukitbea nae utatambulishwa kila sehemu
 
Itakuwa unagegedwa sana yaan afu na watu tofauti. Privacy has its limit. Usiri ukizidi sana unakuwa ujambazi.
Sijaelewa why umehusianisha huko kugegedwa na privacy.unajua maana ya privacy kweli? Yaani wewe kugegedwa na ujambazi ndio vipo kichwani mwako?very very sorry.poor you! I think ungeweza kuhusianisha na mambo mengine mengi tu yaliyoko duniani ila wewe umejifunga kwenye huko kugegedwa na ujambazi,anyway kimjazacho mtu ndicho kinachomtoka mdomoni
 
Ujambz haimaanishi ukabaji. Ni mwanamke mwenye mambo mengi kama ww ndio unaitwa jambazi. Una mambo mengi lkn unataka iwe kimyakimya kwa kigezo cha privacy
 
Bi mkubwa wangu anaongea mno yaan mnooo. Naweza kupata mgeni kama yupo nitajitahidi aondoke mahala hapo atuache wenyewe tu maana sio muda ataanza kuongea asivyooulizwa na nikimuambia anakuja juu nakua mdogo tu. Kiukweli huwa nakereka sana na tabia ya kuzoea zoea watu hovyo nayo nagombana nae lkn hasikii nimeona nimuache tu.
Tuwazoee tu mkuu mama zetu,maana wangu naye yuko hivyo hivyo letsay mmeongoza kwenda mahala,mkikutana na mtu anaanza kukutambulisha huyu ndo flani anaishi sehemu flani anafanya kazi flani yaani hawezi kusalimiana na mtu asikutambulishe mpaka unakoishi na mambo kibao,basi mi sipendi,napenda aseme tu huyu ni mwanangu kaja kunitembelea basi!!!!!vingine asubilie akiulizwa!!all in all nampenda sana na napenda kuongozana naye kila sehemu ninapokuwa nyumbani!!
Parents take a lot of Pride in seeing their children excel: Mafanikio ya mtoto is a Parent's biggest achievement. Hivyo kujivuna ni sehemu ya ubinadamu tu, japo mara nyingine huwa wanazidisha. Ukishakuwa mzazi utalifahamu hili vizuri. Jambo muhimu ni hili, mambo yako mengine ya ndani usipende kuyasema hovyo, hasa ukishafahamu udhaifu huu wa wazazi.
 
Huwa tunagombana sana na bi mkubwa wangu tabia yake ya kunipamba sana kwa rafiki/jamaa zake mtaani....ukimpa habari njema au taarifa ya mafanikio fulani uliyoyapata basi mtaa mzima utajua, tena hapo we haupo,.....siku unakuja kitaa unaanza kuhadithiwa, "nasikia umenunua kiwanja bwana, hongera Sana", imefikia stage sasa nikiwa na jambo langu napiga kimya tu.

Let's meet at the top, cheers
same to me asee.
 
Back
Top Bottom