Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

Ndugu zangu kila nikiwapigia simu kuwasalimia wanakuwa wamelewa hata kuongea cha maana hawawezi, ila siku wakiwa wagonjwa au shule wakihitaji ada hawana hela inabidi mimi nigharamie.
 
Back
Top Bottom