Tabia zake utata mtupu

Tabia zake utata mtupu

Niendelee naye?

  • Ndiyo

    Votes: 2 28.6%
  • Hapana

    Votes: 5 71.4%

  • Total voters
    7

Baby M

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
1,037
Reaction score
415
Ahsanteni wote mliochukua muda wenu kusoma na kutoa ushauri kwenye mkasa nilioutupia juzi kati,naheshimu mawazo ya kila mmoja, & at the end of the day i have the final verdict.

Much love wana jf.
 
sijaelewa kitu:..mara mko mikoa tofauti, unasema sijui mko darasani anakuzungumzia......SIJAELEWA KITU!
 
Inaonekana ni muongo sana huyo mkaka.........,

hata kama ilikuwa ni kweli ana mke unadhani kirahisis rahisi angesema

ni kweli ninae!!!!!!!!!!!!halafu kuna mambo ya kutania watu tena kwenye hadhira ila sio hayo
 
Baby M wacha kumbwela hakuna husband material apo!
Hiyo poll haina maana yoyote!
...
Kama vipi njoo kwangu!
 
Mapenzi yanatufanya tuwe mbumbumbu....Kila kitu kipo wazi kuwa ANAKUDANGANYA.....
 
mbona sielewi?umemsamehe mara hutaki kurudiana nae ah! all in all unadanganywa mama.
 
Mapenzi kuvumiliana Dada yangu. Inaonekana anakupenda. Asingekukua nakupenda asingekuomba msamaha. Kuhusu mimba ujue sisi wavulana huwa tunadetect kitu. alikua anajua tu unamdanganya ndo maana akakuambia ukatoe coz alijua hutatoa kitu. Kama yeye hajakwambia hakutaki basi endelea naye kuliko kuutesa moyo wako kwa mawazo yako hasi juu yake.

Jua binadamu tumeumbwa tofauti. Watu wengine hawajui kubembeleza wapenzi wao japo wanawapenda. So nakushauri uendelee na Mpenzi wako kwani mwapendana. Ungekua Umemuona huyo mke wake au hata mtoto hapo tungeongea Mengine. Nakushauri usimuache mpenzi wako please bali mshauri afanye mambo ya kukufurahisha. Na wewe usiwe unamtwega kwani watu wengine ukututega tunategeka. Acha kumvizia hata kama unaenda room kwake mpigie simu kabisa kwamba nakuja room kwako. Ukifanya hivyo Mapenzi yatadumu lakini ukitaka kumchunguza yatasambalatika. Bata ukimchunguza sana hautamla.

Usisikilize ushauri wa watu wasiojua thamani ya Penzi. ukishindwa kabisa njoo PM nikupe ushauri jinsi gani ya kuishi na Mchumba.

Pole sana
 
Unganisha hii makitu.
1. Alikushauri utoe mimba ulipomwambia umenasa
2. Anasoma Masters na anakwambia hajaoa
3. Alitania kuwa ana mke na mchepuko unamsumbua
4. Alikudanganya kuhusu maisha yake binafsi
5. Hakutafuti kwa siku 3-5

Ngoja mimi nisikilize wimbo wa MB Dogg Latifa unapigwa hapa kwa Radio.
 
Baby M huyo jamaa yako si mkweli na huenda kweli akawa ana mke au mahusiano mengine.Sikushauri kuachana nae ila jua wanaume wa mtindo huo siku zote ni waongo sana.Hakika ipo siku utakuja kujuta kwa kuendelea mahusiano na huyo so called mchumba wako.
 
Last edited by a moderator:
Endelea naye tu,utapata Mimba ataikataa utaitoa ili ukajibu mashitaka ya uuaji kwa Mungu.
 
pole xana shirikisha ubongo utapata jibu mkosaji huwa hakosi cha kujitetea
 
nilianza mahusiano na kijana mmoja ambaye hadi sasa tuna muda wa miez 5

anafanya kazi na ni mwanafunzi wa masomo ya masters

Then recently alikuwa darasani kwake anaposoma akawa anaongea na wenzake ana mawazo sana kwamba mke wake anatarajia jifungua na nyumba ndogo inamsumbua kama vile hawaelewani.

Yeye yupo darasa moja mbele yangu, my colleagues they overheard akiwa anasema hivyo, mimi nikaingia darasani na wenzangu wakaanza kumrejea aliyokua akisema sababu kuna mmoja aliona ni kitendo cha ajabu mtu kuongea hivyo vitu mbele za watu kama kuwa na mpango wa kando ni jambo la kawaida sana, wale wenzangu wakamchambua sababu walianza nihadithia mimi, (but walikua hawajui kama namfaham vizuri), mimi nkapata shauku ya kujua ukweli ya hayo, well baadae nikamuuliza akakubali alisema hayo na kusema alikua akitania tu na si kweli kwamba ana mke.

Mmmh!!! Haya yote yametokea ndani ya miezi mitano tu???

Hebu naomba ufafanuzi katika kila mahali nilipoweka wino mwekundu, nahisi kama unatuokota...

Mara mpenzi wako amekuzidi darasa moja, mara yupo masters, mara ukaingia darasani (kitu kinachoonesha mnasoma darasa moja)...

Du ze nidful plz
 
Back
Top Bottom