Ila tusitaje mabaya tu . Tuongelee na mazuri yao. Kwa mfano Warombo ni hardworking na wavumilivu sana. Wapare ni romantic sana na wanyenyekevu . Wamarangu ni wasafi sana . Hata wamachame wana mazuri mengi sana hasa katika malezi ya watoto.
Kuongelea mabaya tu inakuwa na viashiria vya chuki