Tabia za wanawake wa Kilimanjaro


Hatari Sana.

Wanawake wa kipare wengi Wana mitazamo ya ki-feminist
 
Sasa wewe jifanye mjanja ubebe hizo sifa kama unaweza kukutana nazo kwa kizazi hiki cha amdala kiuno cha alfu 2 ndio utaanza kusaga meno
 
hao wote wachaga, wapare, wameru kitabia ndo walewale tu. hawana tofauti sana labda kuna vitu vichache sana wamezidiana.

hao wengi wao wanapenda pesa pesa pesa aka chapaa na wabinafsi sana hawana subra sijui ni ule ukaribu na 🇰🇪 unawaathiri au, wengi wao ubinadamu🚮
 
ROMBO
d. Wana heshimu ndoa
Rekebisha hii kidogo warombo Ongeza neno wanaheshimu ndoa lakini wanaongoza kuzaa nje ya ndoa.
Nenda kule mpakani Tarakea angalia sura za wale watoto kisha leta jibu.
Mama mmoja alijua mtoto aliyezaa sio wa mumewe alivyojua mumewe anakuja xmass akawa anamkanda mtoto wake pua kwa maji moto iwe ndogo maana alizaa na mtu wa Kenya mwenye lipua likubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…