Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

Mimi ni mpare lakini simshauri mtu kuoa mwanamke wa kipare kabisa.......sio wote lakini wengi wao wana tabia za hovyo sana......

Hasa wakiolewa na kabila zingine wanafanya ndoa kama sehemu ya kuchuma mali........hawapendi ndugu wa mume watafanya kila njia kukutenganisha na ndugu zako......

Atatumia rasilimali za familia kujinufaisha yeye na familia yake.....utajikuta mshahara wako na miradi inafadhili shughuli na mipango ya ukweni....

Wanajifanya wana upendo na heshima fake wakiona kuwa wanaweza kupata chochote kitu kutoka kwako.......

Wakiwa zaidi ya wawili wanapenda kuwateta wasiokuwa wa kabila hilo hata kama mmekaa pamoja.......

Wanaendekeza sana mambo ya kishirikina na wanajifanya wajuaji na wenye mipango mikali ya kimaisha!!!
 
min -me
Monetary doctor

TUNAITWA HUKU ☺️
 
Mbona hujaweka tabia za
1. WaSangi
2. WaGweno
3. WaChome
4. WaKilema
5. WaMamba
6. WaKirua
7. WaOld Moshi
8. WaMbokomu
9. WaUru
10. WaMasama
11. WaKahe
12. WaSango
14. WaNganjoni
15. WaMasai
18. WaArusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…