Tabia za wanawake kulingana na maumbile yao

Tabia za wanawake kulingana na maumbile yao

1, 2, 4 Na 7 nakubariana Na Mtoa Mada kwa asilimia 99!
 
msidanganyike... Me nshawahi kuambiwa hyo ishu nkachukua kadogo flan kana mdomo mdogo kama tundu la pua lakini eeeeeeeeh!! Nashkuru tumbo lilizuia bila ivo ningeenda mimi wote
Hahahaaah
 
Hao 4 mm huwa nina bahati nao mabonge yanajua kupenda bwana sjui wanaona kama chance zao katika mapenzi zipo limited sn

Mm mwnyw mwembamba halaf nkachukue mwembamba mwenzangu si tutazaa skeleton.
mmh
 
msidanganyike... Me nshawahi kuambiwa hyo ishu nkachukua kadogo flan kana mdomo mdogo kama tundu la pua lakini eeeeeeeeh!! Nashkuru tumbo lilizuia bila ivo ningeenda mimi wote
Mkuu ina maana na miguu ilikuwa imeshaingia!? Pole sana, bilashaka angezaliwa mtoto wa ajabu kweli!
 
Back
Top Bottom