Tabia za wanawake kulingana na maumbile yao

Tabia za wanawake kulingana na maumbile yao

3.Wasichana wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS NA KITHEMBE, hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.

kwahyo dada wewe sio muaminifu?
Hizo ni stori tu kaka kama zilivyo stori nyingine za kwenye vijiwe vya kahawa hazina ukweli na hata kukaribiana na ukweli hazikaribiani.
 
nimeishi na watu wa aina zote hapo juu kila mmoja hajazidi mwaka nimetimua Tena hao weupe ndio haswa tabia zao,huyu bonge kwa kweli mtoa mada umenigusa....mwaka wa tatu sasa hatujagombana!
 
Back
Top Bottom