Tabia za wanawake kulingana na maumbile yao

Tabia za wanawake kulingana na maumbile yao

Niko na kibonge wangu hapa.

Yaani Mabonge wanajali bhana, wanapenda haswa.

Unaweza kumkosea wewe yeye ndiye anakuomba samahani yaani mpaka unamuonea huruma.

Basi kila siku jioni ni zoezi la viungo. Mtoto mwili sasa unapangika. Akadumba ya haja imekaa sehemu yake, tumbo sehemu yake. Ubonge upo kwa mbali unaonifanya niwe hoi.

Mimi mwenyewe mwembamba acha nile bata na kibonge wangu wenye rangi ya Zabajaradi aka Chokulate
 
Back
Top Bottom