Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,963
- Thread starter
- #61
Duu mbona hizo namba ni balaa..Uko hivyo kweli?nipo no 5 na 3 kwenye mwanya
Duu mbona hizo namba ni balaa..Uko hivyo kweli?nipo no 5 na 3 kwenye mwanya
sipo hivyoDuu mbona hizo namba ni balaa..Uko hivyo kweli?
Mkuu umemuoa kabla hata hujamfahamu vizuri?Ndoa ina wiki 1 tu mkuu,,, yakinishinda ntaleta uzi wake
Wewe upoje Shuniesipo hivyo
me ni mpole sana yaan tofaut na hizo no zinavyosemaWewe upoje Shunie
kweli kabisa mkuuInasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao,
1.Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui kubembeleza hata kdogo
3.Wasichana wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS NA KITHEMBE, hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.
4. Wasichana WANENE huongoza kwa MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kweli
5. Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6.Wasichana wenye NGOZI NYEUSI wanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
7.Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe wengi wao huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kuliko wanaume weusi.
Kwa uzoefu wako wa maumbo mbalimbali waiyonayo dada zetu au wapenzi wetu zinalingana au kutofautiana na hizi..?
Anhaaa ndo mana ujue mie napata tabu kumbe majibu ndo haya kila siku naona kama fungu la kukosa kumbe nimekosea kuchagua aiseee




Umejaajaa lkn?!Hata sijui![]()
![]()
![]()
Najua ww huna mambo mengi..Mrembo mpoleeme ni mpole sana yaan tofaut na hizo no zinavyosema
Mm napenda mifupa sn
Navunja mifupa wakati meno bado ipo
Kumbuka meno nayo mifupaNavunja mifupa wakati meno bado ipo
Njoo pm tuyajenge mama
Ila magumu zaidi
Ila magumu zaidi
Acha kunibania mambo mazuri ww
