Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

Hahahaaaa! Muache mwenzio aje aongeze exposure, apate location mpya ya picha! Mbona watamtambua!
nimemuambia aje kwanza yule akifika breki mwendokasi gerezani via morocco,kisha ndinga mpk millennium tower pale tunazuga then nampeleka Mlimani city,kesho yake Kurasiniiii darajani!!hapo namlia mingo za beach beach mana Kyle Simiyu hakuna baharii!!
 
Aiseee akirudi mwezi mzima anasimulia, umenikumbusha mmoja alilikimbia lile sanamu la askari nusu avunjike miguu eti anataka 'kunitola'!!(sijui ndio hivyo)
 
WAPARE sio Wabahili... Bali tunachofanya ni kukwepa matumizi yasiyo ya lazima......
Wapare wabahili jaman yaan ukiwa na bf mpare ukiomba hela ya sloon atakwambia ukanyoe,yey ndo anapendaga wanawake natural.
 
Hiyo ni booonge la historia kwa msukuma, hachelewi kukata tiketi ya maswa kwenye mwendokasi.

Aiseee akirudi mwezi mzima anasimulia, umenikumbusha mmoja alilikimbia lile sanamu la askari nusu avunjike miguu eti anataka 'kunitola'!!(sijui ndio hivyo)
hahhaaaahhaaa!
wasukuma maghorofa walikua wanaita 'mabugando'maana ndo ghorofa la kwanza usukumani basi ngoshaz wakifika mjini wakiona kitega uchumi wanshangaa

iii haya mabuganddooo yamo na hukkuuu!!
ii mamaaa!!
 
Kuna mmoja alitembelea mahali akakuta pilau, kesho yake akapikiwa wali maharage, akaulizia kwanini hawajapika kama lile la jana(pilau), akaambiwa lile hadi nyama ndio poa, akajibu "mie mnipikiemo tu hata la maharage"

Kuna mmoja huyo chuoni alikuwa na suti yake ya purple, alafu sijui alishona ya satini! Inang'aa hiyo. Ilikuwa hazipiti siku3 anairudia.

😀😀😀!

atoto lazima nikutafutie kakaangu mmoja...
 
TABIA 20 WANAUME WA TZ:
16. Wanaume wafitini zaidi Tz-WAHA. Waha wana uwezo mkubwa sana wa kufitinisha marafiki ili mradi tu watengane hapo wao hufurahia. Waha wana midomo sana na wanakera mno kwani nyoyo zao zimekaa

UNANITAFUTA. you wait.
Inaomesha unaongea tu usichokijua.
UNAWAJUA WABENA na WAKINGA,?
 
sijapiga nao show hata mmoja Ila nshaenda mkoani kwao nkakuta tangazo la tohara kwa watu wazima!na kingine hata hapa wengi wanapigwa visu ukubwani wanafunzi wetu wengi hua wanafanyaziwa hvyoo form 3 to form four yaani wakubwa wengine jeshini huko!

Oh my, mambo mengine tunazidisha jamani, mpaka inakuwa mateso sasa.
 
hahhaaaahhaaa!
wasukuma maghorofa walikua wanaita 'mabugando'maana ndo ghorofa la kwanza usukumani basi ngoshaz wakifika mjini wakiona kitega uchumi wanshangaa

iii haya mabuganddooo yamo na hukkuuu!!
ii mamaaa!!

...Hahaaaaaa!, hiyo 'iii' huwa inanimaliza, iko kwenye kila kitu huwa naishia ku smile siku nzima kwa ndugu zangu.
Unakuta mtu anauliza leo tunakula nini, akiambiwa wali unasikia, "iii, mbona hatutashibaa"...
 
hahaaaaa!hahaaaa!!!haaaaa!!!halafu haina me wala ke!
wote tu!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom