Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
He he he kumbe kui ni kina sweet ngoshaMtuwacheee!....😀😀😀😀😀
Mmmh kwa uvumbuzi tu hamjamboYaani nilikuwa nawasoma tu hapa, nikavumilia nikashindwa kha!
Eti tupike tikiti maji, mnajuaje labda tulitaka kujaribu new recipe...lol!
Hapo nawakubali, sijui nitafute tu mchepuko wa kisukuma?Heaven Sent na atoto msisahau lakini kaka zangu ma handsome Ile mbaya.
Mkiwaona mpaka mtashangaa ile ya kisukuma kabsa ya kuongeza, 'ii kweeli'