Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,416
- 4,872
Kenya forum hawapendi kwenda kwa kuwa wakenya kila kitu cha bongo wanaponda na wanaringa na kujionyesha kwua wao ni kila kitu na wana kila kitu wakati sisi tunawaona hawana lolote
mkuu miminapenda sana photoTuambie kwenye hayo majukwaa wewe huwa unapendelea jukwaa gani gani kwanza halafu tuanze kuchangia!
mkuu miminapenda sana photo
alafu ni shabiki mkubwa wa picha zako!
Leo ngoja ni wachambulie tabia za siku hizi za jf members wa kiwa kila jukwaa!
MMU wanakuwa makini sana kuchangia
SIASA wanakuwa wanayaponda sana magamba
HABARI wanakuwa wachochezi wakubwa wa dini na kubishana nani tajiri tanzania?
ELIMU hapo utawakuta watoto wa chuo wanalalamika tu boom likikata
KAZI wanailalamikia secretariat ya ajira
SAYANSI hii hawapendi kabisa maana wengi humu ndani tumesoma political science &arts
INTELLIGENT kila member anajifanya usalama wa taifa
AFYA asilimia kubwa ya member wanalalamika hawana nguvu za kiume
CHIT CHAT Wamejaa much know tu alafu wanajuana
PHOTO Hapo ni jokes kwenda mbele
KENYA FORUM hapo hauwapati kabisa maana wanawaogopa wa sana kenya
Toa maoni yako na wewe
naona njaa inakuuma, twen' zetu rudy's!hivi jukwaa gani linaongoza kwa kuwa na wambeya wengi? mi ndio nataka niwe memba wa kudumu wa jukwa hilo
hivi jukwaa gani linaongoza kwa kuwa na wambeya wengi? mi ndio nataka niwe memba wa kudumu wa jukwa
Jukwaa la kikubwa!!!
Rudy's......... Ngoja Ijumaa ipite, si unajua Ijumaa haieleweki, mara nyingi huwa napatwa na pumu, inanishika na ninashindwa kupumuanaona njaa inakuuma, twen' zetu rudy's!
Kenya forum hawapendi kwenda kwa kuwa wakenya kila kitu cha bongo wanaponda na wanaringa na kujionyesha kwua wao ni kila kitu na wana kila kitu wakati sisi tunawaona hawana lolote
hivi jukwaa gani linaongoza kwa kuwa na wambeya wengi? mi ndio nataka niwe memba wa kudumu wa jukwa hilo
Leo ngoja ni wachambulie tabia za siku hizi za jf members wa kiwa kila jukwaa!
MMU wanakuwa makini sana kuchangia
SIASA wanakuwa wanayaponda sana magamba
HABARI wanakuwa wachochezi wakubwa wa dini na kubishana nani tajiri tanzania?
ELIMU hapo utawakuta watoto wa chuo wanalalamika tu boom likikata
KAZI wanailalamikia secretariat ya ajira
SAYANSI hii hawapendi kabisa maana wengi humu ndani tumesoma political science &arts
INTELLIGENT kila member anajifanya usalama wa taifa
AFYA asilimia kubwa ya member wanalalamika hawana nguvu za kiume
CHIT CHAT Wamejaa much know tu alafu wanajuana
PHOTO Hapo ni jokes kwenda mbele
KENYA FORUM hapo hauwapati kabisa maana wanawaogopa wa sana kenya
Toa maoni yako na wewe
charminglady;5113325
Mi mwenzio nilivyo ona jukwaa la wakubwa nikawa najua ni jukwaa la kujadili namna ya kupata ada za watoto, namna ya kujenga nyumba imara na za kisasa kwa gharama nafuuu etc. Nilipoingia kwenye jukwaa hilo, nikajikuta niko Muhimbili nimewekewa drip ya kupunguza nguvu za baba Juma na Roza.hivi jukwaa gani linaongoza kwa kuwa na wambeya wengi? mi ndio nataka niwe memba wa kudumu wa jukwa
Jukwaa la kikubwa!!!
ntakubebea oxygen, lolest!Rudy's......... Ngoja Ijumaa ipite, si unajua Ijumaa haieleweki, mara nyingi huwa napatwa na pumu, inanishika na ninashindwa kupumua