Tabia za siku hizi za member wa jamii forum soma hapa

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,416
4,866
Leo ngoja ni wachambulie tabia za siku hizi za jf members wa kiwa kila jukwaa!
MMU wanakuwa makini sana kuchangia
SIASA wanakuwa wanayaponda sana magamba
HABARI wanakuwa wachochezi wakubwa wa dini na kubishana nani tajiri tanzania?
ELIMU hapo utawakuta watoto wa chuo wanalalamika tu boom likikata
KAZI wanailalamikia secretariat ya ajira
SAYANSI hii hawapendi kabisa maana wengi humu ndani tumesoma political science &arts

INTELLIGENT kila member anajifanya usalama wa taifa
AFYA asilimia kubwa ya member wanalalamika hawana nguvu za kiume
CHIT CHAT Wamejaa much know tu alafu wanajuana
PHOTO Hapo ni jokes kwenda mbele
KENYA FORUM hapo hauwapati kabisa maana wanawaogopa wa sana kenya
Toa maoni yako na wewe
 
Tuambie kwenye hayo majukwaa wewe huwa unapendelea jukwaa gani gani kwanza halafu tuanze kuchangia!
 
Kenya forum hawapendi kwenda kwa kuwa wakenya kila kitu cha bongo wanaponda na wanaringa na kujionyesha kwua wao ni kila kitu na wana kila kitu wakati sisi tunawaona hawana lolote
 
Kweli kabisa...
 
Jukwaa la Kenya unawaonea wana Jf
wanadhararau sana Wakenya
wanaamini hakuna hoja nzuri itakayotokana na Wakenya
 
obama wa bongo....hii habari ni tetesi toka wapi au kwa nani?
 
Leo ngoja ni wachambulie tabia za siku hizi za jf members wa kiwa kila jukwaa!
MMU wanakuwa makini sana kuchangia
SIASA wanakuwa wanayaponda sana magamba
HABARI wanakuwa wachochezi wakubwa wa dini na kubishana nani tajiri tanzania?
ELIMU hapo utawakuta watoto wa chuo wanalalamika tu boom likikata
KAZI wanailalamikia secretariat ya ajira
SAYANSI hii hawapendi kabisa maana wengi humu ndani tumesoma political science &arts

INTELLIGENT kila member anajifanya usalama wa taifa
AFYA asilimia kubwa ya member wanalalamika hawana nguvu za kiume
CHIT CHAT Wamejaa much know tu alafu wanajuana
PHOTO Hapo ni jokes kwenda mbele
KENYA FORUM hapo hauwapati kabisa maana wanawaogopa wa sana kenya
Toa maoni yako na wewe

We are all products of sex and therefore JF members need to think a lot about MMU
 
Nadhani sisi wenyewe Watz tunajidharau..Na wakenya wanakuja kujazia tuu kutudharau

Kenya forum hawapendi kwenda kwa kuwa wakenya kila kitu cha bongo wanaponda na wanaringa na kujionyesha kwua wao ni kila kitu na wana kila kitu wakati sisi tunawaona hawana lolote

Chitchat....Kule ni kusutana na matarumbeta kwa kwenda mbele...Stress free zone...

hivi jukwaa gani linaongoza kwa kuwa na wambeya wengi? mi ndio nataka niwe memba wa kudumu wa jukwa hilo
 
Leo ngoja ni wachambulie tabia za siku hizi za jf members wa kiwa kila jukwaa!
MMU wanakuwa makini sana kuchangia
SIASA wanakuwa wanayaponda sana magamba
HABARI wanakuwa wachochezi wakubwa wa dini na kubishana nani tajiri tanzania?
ELIMU hapo utawakuta watoto wa chuo wanalalamika tu boom likikata
KAZI wanailalamikia secretariat ya ajira
SAYANSI hii hawapendi kabisa maana wengi humu ndani tumesoma political science &arts

INTELLIGENT kila member anajifanya usalama wa taifa
AFYA asilimia kubwa ya member wanalalamika hawana nguvu za kiume
CHIT CHAT Wamejaa much know tu alafu wanajuana
PHOTO Hapo ni jokes kwenda mbele
KENYA FORUM hapo hauwapati kabisa maana wanawaogopa wa sana kenya
Toa maoni yako na wewe

mh hapo kwenye red sidhani kama ni kweli.

ila nahisi kama umefanya majumuisho ya juu juu tabia za wana jf katika majukwaa huwezi kueleza kwa maneno machache namna hiyo. either utamiss mengi au utadanganya.
 
charminglady;5113325
hivi jukwaa gani linaongoza kwa kuwa na wambeya wengi? mi ndio nataka niwe memba wa kudumu wa jukwa

Jukwaa la kikubwa!!!
Mi mwenzio nilivyo ona jukwaa la wakubwa nikawa najua ni jukwaa la kujadili namna ya kupata ada za watoto, namna ya kujenga nyumba imara na za kisasa kwa gharama nafuuu etc. Nilipoingia kwenye jukwaa hilo, nikajikuta niko Muhimbili nimewekewa drip ya kupunguza nguvu za baba Juma na Roza.
 
Mmmh hapa napita kidogo naona pamekaaa kiuchochezichochezi hivi, kuna mtu atakula BAN
 
Leo ngoja ni wachambulie tabia za siku hizi za jf members wa kiwa kila jukwaa!
MMU wanakuwa makini sana kuchangia
SIASA wanakuwa wanayaponda sana magamba
HABARI wanakuwa wachochezi wakubwa wa dini na kubishana nani tajiri tanzania?
ELIMU hapo utawakuta watoto wa chuo wanalalamika tu boom likikata
KAZI wanailalamikia secretariat ya ajira
SAYANSI hii hawapendi kabisa maana wengi humu ndani tumesoma political science &arts

INTELLIGENT kila member anajifanya usalama wa taifa
AFYA asilimia kubwa ya member wanalalamika hawana nguvu za kiume
CHIT CHAT Wamejaa much know tu alafu wanajuana
PHOTO Hapo ni jokes kwenda mbele
KENYA FORUM hapo hauwapati kabisa maana wanawaogopa wa sana kenya
Toa maoni yako na wewe

political science &arts

:A S 41:

:becky:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom