Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Tabia haina pesa wala umaskini! Hizo tabia anaweza kuwa nazo mtu yeyote yule.
Na malezi huwa yanachangia sana kwa kiasi fulani
endelea kuizarau misemo ya wahenga

"pata hela tujue tabia yako"
 
Yap mamaa.najua umenipendea hela zangu.
Nisingekuwa na hela usingenipenda.
Kiukweli naringa siku hizi.
Maana hata wao waliniringia.tena Nina wanyanyasa kweli kweli.naweza nisimtafute siku nzima..najua atanitafuta tu.si ana shida.
Teh[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kweli ila bora mwanaume mwenye hela kuliko mwanamke mwenye hela aiseeee wanawake tuna dharau kiwango cha juu kabisa
Yaani nakupendeaga tu hapo[emoji122] [emoji122] kwenye ukweli unaongea tu, hupendelei jinsia yako
 
Labda unazungumzia wahaya wasukuma waruguru na wachaga ndo tabia zao
hela hainaga kabila.

anaweza kuwa mchaga ila aliye zaliwana kukulia kwa wanyaturu.
 
Wanaume wachache wenye nazo halafu akawa na masimango lkn sisi sasa tupate hizo ngawila uone nyodo zake
Bidada nawe mhenga kama mimi nini....kuna neno hapo umelichomekea si la kizazi hiki
 
Me nnavozidi kufanikiwa ndo nazid kuwa kinyume na hizo sifa!
 
Izo n tabia kama pesa umeikutia uzeen
 
Tatizo mna inferiority complex mtu akiwa amekuzidi mafanikio kidogo tu kila anachofanya mnasema dharau. Akicheka [emoji23][emoji23][emoji23]ooh anacheka kwa dharau...asipocheka [emoji846][emoji846][emoji846]anajiona sana huyu hacheki na watu
 
Yaani ipo sana jamani badala ya kufaidi wote utasikia usinipangie chagua kuondoka au kuwa na mkemwenza, mpaka mtu kaongeza mwingine basi hapo uliepo hautoshi ndiyo maana yake, ila machozi ya huyo mvumilivu hayaendagi bure
 
Yani mkuu hapo 1,2, 5 in Mr wangu kabisaa yeye huwa hakosi na hajui kuomba msamaha,,tena hyo kwani ina cost shngapi kuna Siku hadi nilimtandika Kofi kwa hasira nyoko zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…