Tabia za Makondakta zinazonikera

I wish angetokea konda hapa naye akaeleza kero zake kuhusu abiria. Kuna abiria wanakera jamani mweh!
Ni kweli kabisa,abiria wanywa mataputapu ndio huwa wanasunbua sana wanaongea mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari halafu nauli hawatoi.
 
Reactions: mk4
Ukimwambie asiongeze abiria wengine ndani kuna joto "anakwambia ungepanda friji"
Anakudnganya kuna siti ukipanda unakuta hamna ukimuuliza anakujibu "ungekuja na stuli toka nyumbani"

SINA IMANI NA UKAWA

Kama huna imani na ukawa sisi tufanye nini.....?????..hatukujui...hutujui SHAURI YAKO
 
vp ...kuhusu kuwapapasa wa mama/dada?
 
Kuna mmoja aliulizwa mbona umesema gari nyeupe wakati imejaa,
Akajibu shuka uangalie rangi ya gari!!!
Teh teh teh teh wanamajibu mabaya mno usipokuwa makini wanakuharibia siku kirahisi kabisa.
 
Ndo maana mimi wakisahau kunidai nauli nakausha, mikonda ina mitusi mpaka shetwaini inaogopa!
 
Ukimwambie asiongeze abiria wengine ndani kuna joto "anakwambia ungepanda friji"
Anakudnganya kuna siti ukipanda unakuta hamna ukimuuliza anakujibu "ungekuja na stuli toka nyumbani"

SINA IMANI NA UKAWA

Mkuu kwenye red hapo nimecheka sana hadi nimetokwa na machozi daah. Eti ungepanda friji.
 
Ndo maana mimi wakisahau kunidai nauli nakausha, mikonda ina mitusi mpaka shetwaini inaogopa!
Ndio maana yake coz hata wao wakichukua hela kubwa hujikausha ili abiria asahau chenchi yake,na ukisahau kweli imekula kwako.
 
Mie hata chenji iwe 50 lazima nikomae nayo
 
Kuna mmoja aliulizwa mbona umesema gari nyeupe wakati imejaa,
Akajibu shuka uangalie rangi ya gari!!!

ahaaaa...
kumbe makonda nao muda mwingine wanatumia
falsafa ya hali ya juu sana kujibu
baadhi ya maswali ya abiria.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…