CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
ushamba mtupu...mtu mwenyewe hata akijipima sio type yakopssss....psssss
mambo ya vibration dearBaadhi ya akina dada kwenda makanisani na nguo zisizi na staha.... yaan utakuta kavaa kinguo kifupi hadi aibu, mwingine mabega wazi au nguo ndefu ila imebana afu ya kitambaa cha poliesta.... Kha!!!!!
ushamba mtupu...mtu mwenyewe hata akijipima sio type yako
Hiyo kali,yaani kuna watu wanatafuna njia nzima kama mchwa
Ukiambiwa hujambo sio lazima utoe shikamoo. Kusini mtoto mdogo anaweza kukuambia hujambo na unajua wanaitikiaje......"eeeh".
nilishawaihehehe...hivi ushawahi kufikiria kuomba kazi BOT?
kama mimiWewe type zako zipi?
Hili swali kuna mtu kauliza hapo juu...nimemjibu huenda zipo kwa jamii nyinginezo ila hapa nimelenga pekee sisi Watanzania kwani ndio wahanga wa moja kwa moja kwa haya tufanyayo...
wanaume wanaokaa kwenye daladala then wanapanua miguu....
hapanaheheh...ulipata?
mtu anajiachiaaaaa mguu mmoja kule mwingine kule ...Mmmh hii me pia inaniudhi sana utadhani liko kwake limekaa ktk kochi kubwa
Na kila anachokula na wewe anataka uonje....
Kuna hii sasa
Mmekaa kwenye foleni say unachat na wana kupitisha time kuna boya katoa mimacho kwenye simu yako anasoma kila kitu,yaaani mpaka ukikosea kuandika NYUMBA anatamani akuambie sio numba ni nyumba khaaaaaaaaaaaa!!!!!!
Dawa ni kuandika; NINAYE HAPA KAKAA UPANDE WANGU WA KULIA/ KUSHOTO NA NTAMFUATILIA NIJUE ANAPOKAA ILI USIKU TUMALIZE ILE ISHU