Jamani yaani kwenye hili nashindwa kujikaza sometimes nakuambia ukichukia basi
But ni tabia gani mtu mzima kkukaa kuchokonoa pua na vidole?au kubeua bila hata ya kushow any excuse...?tujifunze jamani manners loh
Wengine wanaweka toothpick kinywani kutwa nzima bila kutupa! Utawakuta hata kwenye usafiri wa Umma.
Mtu anatafuna chakula utafikiri ng'ombe anatafuna nyasi....
Jamani yaani kwenye hili nashindwa kujikaza sometimes nakuambia ukichukia basi
But ni tabia gani mtu mzima kkukaa kuchokonoa pua na vidole?au kubeua bila hata ya kushow any excuse...?tujifunze jamani manners loh
Mkubwa pua unachokonoa na nnJamani yaani kwenye hili nashindwa kujikaza sometimes nakuambia ukichukia basi
But ni tabia gani mtu mzima kkukaa kuchokonoa pua na vidole?au kubeua bila hata ya kushow any excuse...?tujifunze jamani manners loh
Exactly!! sisi kwetu ilikuwa ukibeua then usiseme samahani tulikuwa na tabia ya kusema hee vipi umepata mchumba wa kiarabu?maana nasikia kwa wenzetu maana yake ni shibeKuna baadhi ya tabia hata malezi yana changia,mimi nakumbuka utotoni mama au baba akikuona unaweka kidole pua lazima akukalipie so ikanijenga,ili kuwa hata darasani kama nahitaji kujichokona pua lazima nitafute kificho hii imeendelea hadi saiv ukubwani
Hizo pii yuu em bii yuu zitakuwa zinatoa unga unga...ukikinga unapata wa chapati
Mkubwa pua unachokonoa na nn
Nakumbuka wakati tupo primary kuna jamaa alikuwa na uweze wa kuwaita mfululuzo kwa majina yao wanafunzi kama 10 hv kwa kupitia vijambo, yaani daudi, asha, pendo, rose, rabeka, emma, anania, hamza, chale halafu anamalizia yuuusuuufuuuuu...!!
kuna msanii mmoja wa tmk ana tabia hiyo,siipendi....
Kubeua, kwa waarabu hiyo ni ishara ya kuwa umekula chakula chao cha kutosha, na wakisikia umebehua basi kwao shwari.
Sasa kuchokonoa pua na masikio hayo mengine, pamoja na wao kusema kuchokonoa pua ni yote ktk kusafisha mwili, hata masikio (angalau wataalamu wanakataza)...
Waingereza ukijapamba poa kwao kuliko kucheua na kukaa kimya...
Sasa ni utamaduni, mazoea au...hi wengine hataelewi bado