Tabia za kinamama zinazoniudhi

Subiri wenyewe waje mkuu....ukisikia aaaaaaaa ujue limempata mhusika.
 
Simu zao huisha chaji hata kama ni asubuhi na anaishi nyumba yenye umeme na gari yake ina charger.Mwingine anasahau simu oficin kwa watu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejikuta nacheka yaani ulivyokuwa makini kuwaangalia kweli huwa wajipiga piga nawaangalia mabinti hapa kazini taabu wanayopata tena wengine hukaa nayo mpaka yananuka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejikuta nacheka yaani ulivyokuwa makini kuwaangalia kweli huwa wajipiga piga anawaangalia mabinti hapa kazi taabu wanayopata tena wengine hukaa nayo mpaka yananuka.

nachofanya namsaidia kwa kumpiga konzi muwasho upungue kidogo.
 
...Utakuta mwanamke kaanika vipaja uchwara vyake nje akisuguliwa miguu na kubandikwa....

Nimejaribu kuimagine kichwani hivyo vipaja uchwara sijui vinafananaje. Siku ukipita kule Mwenge ukaviona usisite kupiga ka picha na kurudi kukatupia hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…