Tabia za kinamama zinazoniudhi

Tabia za kinamama zinazoniudhi

=>kucha ndefu, yaa na zinavokua zimepinda mpaka nakumbuka move za mazombie
=>kuna virangi wanapaka juu ya macho katikati ya nyusi na kope, nakereka mpaka naacha kumwangalia
nyusi bandia, nikimwangalia =>mwanamke mwenye kope bandia nahisi kulengwa na machozi
=>high hills. nachukia hizo vitu sana
=>rangi kwenye nywele, sasa mbaya zaidi aweke tofauti na black, nahisi kuumwa kichwa. mf. wolper kipindi flani na kale ka-pengo ka pembeni khaa taabu kweli kweli
=>wigi, sipendi kabisa
=>mwanamke mwenye punk, aroo hata awe mzuri vipi hanivutii.
=>mwanamke asweti mpaka msitari wa jasho uonekane kwapani. hapa huwa nakwepa napitaga mbali.
 
Moja ya tabia za akina mama zinazoniudhi ni urembo bandia wa kucha, nywele, kope, nyusi, makalio, nyonyo na vitakataka vingine kama hivyo.

Utakuta mwanamke kaanika vipaja uchwara vyake nje akisuguliwa miguu na kubandikwa kucha bandia. Na haipiti hata wiki moja kucha zimebanduka anaenda kuweka zingine. Hivi hawa wanawake ni nani aliyewaroga?

Je, ni tabia gani ya kike inayokukera na kukufanya uwaone wanawake kama mazombie?
Acha kuwaponda wapo wanaowapenda hivyo hivyo
 
Hivi nyie wanaume kutwa kulalamika. Hivi mnajua nasisi yako mengi yakwenu yanatukera hatuyaongei maana one man's meat is another man's poison kila mtu anakitu anakihitaji na pia kila mtu na choice yake. Tafteni pesa mtakuja kutupata sio kutumalizia stress mxuieee
Asa kama unayajua si uyaseme mwaya?
 
583c095b456125223d6995d1f00f85ae.jpg
 
Kutumia sauti ya juu hasahasa kupiyia simu za mikononi wanapoongea mambo yao ya ndani, kifamilia, ugomvi na unafiki wowote katika mikusanyiko ya watu wengi. Mf. Ndani ya Daladala, barabarani, kwenye sherehe n.k
Hasa wale wanawake shamkupe wa kiswahili. Kumbe wanatukera wengi? Nilidhani ni mm mwenyewe.
 
yananikera manamke mabonge af sio masafi... napia manamke haya ya insta yanayovaa nusu uchi then yanapiga picha nakujikuta ma supa staaa, yananikera zaid majimama ya uswahilini yanayojichubua, sura inakuwa km paka, inakela manamke yanayocheza ngoma...wanaita nn sijui..huwa had yanasasambua..mishanga kibao tena mbele ya watoto...laana iwe juu yenu! wanakela mademu waongo waongo..njaaa sana, vizinga ndo usiseme!!!!!! zaid zaid wanakera hawa wanawake wanaondekeza pombe na kula kula...had figa inapotea..demu mbongo anakuwa km jimama la kibagachori! ukiangalia faster faster huwezi jua mbele wpi...tumbo limejaa chips mayai na bia..Haraf unakuta linalalamika mume wake kapunguza speed kitandanj..nan anapenda kulala na litukunyema!!!!
Du mkuu umeua kabisa...subiri wenyewe waje kujitetea. Hahahahaha!
 
=>kucha ndefu, yaa na zinavokua zimepinda mpaka nakumbuka move za mazombie
=>kuna virangi wanapaka juu ya macho katikati ya nyusi na kope, nakereka mpaka naacha kumwangalia
nyusi bandia, nikimwangalia =>mwanamke mwenye kope bandia nahisi kulengwa na machozi
=>high hills. nachukia hizo vitu sana
=>rangi kwenye nywele, sasa mbaya zaidi aweke tofauti na black, nahisi kuumwa kichwa. mf. wolper kipindi flani na kale ka-pengo ka pembeni khaa taabu kweli kweli
=>wigi, sipendi kabisa
=>mwanamke mwenye punk, aroo hata awe mzuri vipi hanivutii.
=>mwanamke asweti mpaka msitari wa jasho uonekane kwapani. hapa huwa nakwepa napitaga mbali.
Ni sheeeeeeeeda! Umeongea ukweli kabisa mkuu. Cha ajabu kuna baadhi ya mijitu itakubishia.
 
Wengine wamejichubuaaaa hadi mishipa ya damu naona nje nje.. ssshiiiiihh.., hadi ngozi inatisha sana kama shetani, kinyaaa, macho kama nyau, mavipodizi uchafu tupu, sasa kyuma na mkyndvni kweusiiiiiiiiiiiii kama mkaa vile.. usoni mweupeeeeee kwa kujichubuaaaaa ngozi kama kiti moto mweupe aliyechunwa... ptuuuuuhh
 
Mwanamke kujisafisha pua mbele za watu tena bila kitambaa, hiyo na kwa kina baba pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom