Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
Sababu zao ni za kiimani zaidi ya za kiulimwengu.
Wewe ungeona watu wapewe elimu, huduma za afya n.k. ndio kungesaidia, wao wanachofuata ni maandiko yao, na wanachoamini na kuridhika ni kuwa wanayafuata maandiko yao kwa vitendo.
Pesa zinatoka wapi? Ni mafuta yanayonunukiwa na dunia nzima.
 
sifa yakafiri ni kuwacha yanayo fanyika kanisani kwake na kukosoa ya msikitini huo ndio ukafiri nikuulize swali hayo masanamu kanisani kwanu yakazi gani?
sikia kafiri....masuala ya kanisani na misikitini ni upuuzi tu.....hayana mantiki yeyote katika jamii yetu ya kiafrika.....chunguza tu utaona. Hizi dini ni laana tu kwetu.
 
Hivi kuna msikiti ambao hawafugi majini kweli?
Majini ni halal katika uislamu sababu yanamuabudu mungu wa waislamu anayeitwa ALLAH!!!Dini za kikirsto na kiyahudi,issue za majini(Mapepo)ni haram na mungu wao YEHOVA amewakataza!!!!
 
Hivi mtu na akili zako timamu unaanzaje kuwa muislamu?
Ni ujinga wa waafrika wa bara hili kaka!!!!Hata sisi wabantu tunawashangaa nyinyi nyote wakristo na waislamu mnaachaje dini za babu zenu na kushobokea dini za wazungu na waarabu!!!!Nyie mnatuita wapagani na makafir na sisi tunawaita NYAGUMA maana yake wafaata dini za kigeni
 
Majini mema na mabaya.
Mabikra 70 mbinguni
Dini ya uislamu imesema wanaume watapewa wanawake 70 peponi wa kufanya nao ngono (Sex) kwa mujibu wa AL ASIF!!!Kitabu pekee katika uislamu wa kale ambacho huwezi kukisoma mpaka uwe na elimu ya waabudu moto,waabudu nyota na mwezi early fundamental,s of islam religion founder!!!Kabla hata ya Muhammad!!
 
kanisana hakuna msaada wa masikini bali anae changiwa ni mchungaji na padiri
Hilo ni kanisa lenu la Roma..........SDA, Lutheran. Assemblies of God nk la kwanza ni tiba yao na ni rahisi sana kwa woote wa hali ya chini mpaka vijijini hukooo tarime wapooo!....ni Duniani koteeeee!!

Misheni zinatoa ajira kwa wooote!...shule zao ni bei nafuu kwa wooote na zimefanya kazi zaidi ya miaka 500 humu humu! baba zako wamesomea huko!........hata km akichangiwa huyo padre wenu wewe unaumia nini???

Mitanzania mingine bana michoyoooo!!! hata kwa baba zenu wa kiroho!....mkiona padre kana nenepa baaasi, sadaka zetu hizooo!...yaani shida tupu kwa kwenda mbele!

Kwanza jua kabisa Wabongo wooote!!!! africans nyie ni ma consumers tu! leo hii hakuna mchango wenu Duniani, hamzalishi chohote Duniani, mnabaki sasa kulaumiana vya kupewa!

Roman catholic ni kanisa la wazungu ..wa Ulayaaa!! hela mafungu kwa mafungu yanatoka Rome! eti weye kajamba nani unalia lia hela zenyewe za mawazo! ........

nyie meusi hamna kitu laana tupu zaidi ya kupewa siraha na kuchinjana km mbuzi, na mtamalizana DRC, Rwanda, somalia nk nk

hao wakikosa amani mnachekelea hujui tuu! usidhanie wewe Bongo umesalimika saaana! hawazalishi watakuja kula kwako! km wakimbizi......ukikataa watakuibia tu! au laa na wewe hutakaa kwa amani!

haohao ndo wamewapa hiyo imani yao kumuabudu yesu wao mzungu na mkicheza na kuzomea kanisa lake haji kuwakomboa mijitu myeusi!!....kwanza hako ka yesu kenu hakawataki mnajipendekeza tu!

acha kutoa sadaka yako ya madafu hiyo/piga debe! uone km kanisa hilo la italy litakufa! nyau kabisa! na gumbaru yako hiyo!....lipa ushuru huo kwa hiari yako!,.....helaile inarudi ilikotoka!

hizo hela hujui zinako toka!...siyo mbagala maji matitu!! km unajali hivo kwa nini usitengeneze zako? si taifa huru nyie??.....hata gari tu unayoendesha, cement, vtasa, kufuri,

nguo ulizo vaa hapo. siyo mali yenu!..pc unayotumia maweee! nisiseme sana
 
Ni ujinga wa waafrika wa bara hili kaka!!!!Hata sisi wabantu tunawashangaa nyinyi nyote wakristo na waislamu mnaachaje dini za babu zenu na kushobokea dini za wazungu na waarabu!!!!Nyie mnatuita wapagani na makafir na sisi tunawaita NYAGUMA maana yake wafaata dini za kigeni
Bayelezee!! baba Bayelezeee!! habajuyi chitu bhatoto! bhadogo haabo!
 
Waslamu si ndiyo wafuga majini na wanao jitoa muhanga hawa? Sasa uzuri wao ni nini?
Nikisikilizaga watu wengine nacheeeka!! sasa km wanafuga Majini si ndo safi ,....wazuri hao tuna faa kuwaiga hiyo technolojia ya bure kwa sababu hakuna haja ya askari, polisi jeshi!

walinzi yaani tuna ajili majini hayo tu!! yanakula udi tyuu!....... rahisi sana! hao ni wazuri tuwaige hata tutawalipa akituletea hayo majini takribani million kumi hivi! loool tuna relux kabisaa na magari yetu tunalza nje tu!,

kwanza mengine tunapigana nayo miti yaani kuna faida nyingi sana kufuga majini! hatuhitaji kupima na darubini ili kujua wenye ukimwi, ,Malaria, Typhoidnk,...yaani kifupi tutawapiku wazungu faster tu!

wachawi woote tunawakomesha!....halafu mtu kujitoa muhanga si ni ushujaa?? jamani au mie ndo sielewi??....km asingekuwa mzanaki kujitoa muhanga leo hii usingekuwa nyuma ya key board!

wakurya wengi wamekufa, nsumbiji, zimbabwe , south africa, mpaka leo hii south watanzania mnaheshimika ajili ya wakurya walio jitoa muhanga!! ajabu iko wapi???unajua nyie divisio zero mnasumbua sana humu tokeni jf bana!

mie nakuona weye ni mzembe unajua kitu km hiko hlafu unanyamaza tu! nenda ikulu pale Mwambie Rais kuwa kuna walinzi majini asisumbuke kuajili askariii!
 
Ni bora ubaki hivyo hivyo bila kujua lengo lao, maana ukilijua utajuta kujua
 
Unaongelea wadada wa kazi!!! Kwa taarifa yako wabongo ndo wanaongoza kwa roho mbaya kwa mabinti wa kazi tena ni hapa hapa nchini..
Acha utani bana vibinti vya kazi?? kanyama ka hamu kale???? halafu vikizoea kula kiporo cha Baba mwenye Nyumba vinapendeza weweeee!! heee! halafu kakupigie Punky hivi??

halafu vinakaaga ndani tyuuuu!! vinakula kiyoyozi /celling fenny mateso yataanzia wapiii? yaani vinapendezaga mnoo!! hata kawe na sura ya babake !!!

labda libaba lenye nyumba ni butu! lisilo na meno!! ,,,wenzenu vidada vya kazi vikija mijamaa inashangilia kimoyo moyo!!! eti weye unavitesaaaa!! dume gani weye??...

tena hata vyenyewe vikija kuanza kazi vikikuta Baba wa nyumba ni kijana km Nyarusare hivi! au exovert/Mshana jr weee!! vinafurahiii!!...kimoyo moyo! vinakuita semegiiii! na mitego mingiii! daaa safi sana, af ni afya kwanza!
 
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
Iesomewa Albadiri tayari
 
Afrika haiendelei sababu ya hizi mindset za kupenda vya kupewapewa, mijitu imekuwa mitegemezi kiasi kwamba haitumii akili tena, bali hisia za njaa na kupenda mseleleko.

Hayo mavitu mnayopewa bure jitazameni sana tena sana, waarabu na Roho zao mbaya waanze kukusaidia mtu mweusi wasiekupenda how come? Vitu vingine hata haviitaji akili nyingi kutumia kuona ubaya/uzuri wa kitu.

Kama ni sadaka wangegawa hayo mavyakula yao kwa omba omba na sio msikitin, kama ni msaada basi wangefund wahitaj wa ada za shule, matibabu, fedha na mikopo kwa wahitaji na sio kutoa chakula chenye faida ya siku moja na hasara ya milele.

Ukiwaangalia watu wanaopenda kula hayo mavyakula hata akili zao huwa za kipumbavu, bila kusahau mafukara/masikini ndio hawa hawa wazee wa kupenda kula vitu wasivyojua vimenuiwa mambo gani.

Tazama kundi kubwa la waislam ni masikini choka mbaya, bila kusahau ufinyu wa akili, kama huamin tazama hata shule zao utaona matokeo ya wanafunzi ni hovyo.

Hao waarabu hawana tofaut na babu zao walioharibu maisha ya waafrika wa zaman, bado roho ya chuki na ushetan uko ndan mwao, that's why utawaona wakirudi kwa njia za kidini na misaada ya vyakula kwa kuita sadaka special kwa misukule yao inayoamini dini za kigeni na kupenda kupewapewa bila kufanya kazi.

Hayo mavyakula wameshafanyia dua zao za kishirikina na kukupa wew mlala hoi ule uwatimizie wao maombi yao, utabaki fukara na tegemezi wakat wao wakifanikiwa.

Tazama sana hata humu wanaojinasibu kushiriki hayo maujinga ya kula kula hata maisha yao ni hovyoo bila kusahau akili zao hovyo ndiomaana hawaambiliki hata uwaambie side effects za kula vitu vya matambiko, kwakuwa wamesharogwa na miungu ya waarabu, the same way kwa kondoo za jumapili zinazojiita wakristo kwa kushiriki tambiko la meza ya bwana, eti kula na kunywa mwili na damu ya yesu huu nao ni ushirikina vile vile.

Dini zote ni utapeli.
Bado najiuliza mtu mwenye akili timamu anapokeaje msaada wa nyama kilo 2?? Nyama ni msaada kweli? Kwa nn wasiwape mbuzi au ng'ombe wazima ili waanze kufuga?
 
Bado najiuliza mtu mwenye akili timamu anapokeaje msaada wa nyama kilo 2?? Nyama ni msaada kweli? Kwa nn wasiwape mbuzi au ng'ombe wazima ili waanze kufuga?
Ubora wa sadaka ni iwafikie watu wengi sasa wakigawa ng'ombe au mbuzi wazima wazima si zitaambulia kaya chachache tu
 
KAA NA MBALI NA HIZO NYAMA ZA WAARABU MKUU, WENGI WANAROGEZEA NA KUNUIA MAJINI NA MIZIMU YA KWAO
Huna akili wewe. Hivi hujawahi ona hata Ikulu wanatoa sadaka ama zawadi za mbuzi na michele kila Xmass ama Sikukuu za Idd? Wewe kama huna uwezo, kaa kula zako ugali dagaa ukalale. Kuna watu wanapesa. Wanavisima vya mafuta miaka mingi na wanajali wenzao masikini. Kawaulize hao wanachukua sadaka uone kama wanamadhara yyt. Wewe achana nazo, nenda zako kwa Mwamposa kanunue mafuta ujipake
 
Back
Top Bottom