Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

Hawa wanaokataa sadaka ni ni sawa na uhasidi wa mbwa.Atamkataza na kumfukuza mbuzi asile majani lakini yeye hayo majani hayali atasimama hapo akibweka tu.
Wewe sio muislamu inakuhusu nini sadaka wanazotoa waislamu?
 
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.


Kugawa nyama inatokana na agizo la Quran katika Suratul kauthar inayosema:-

1--Hakika tumekupa heri nyingi
2-- basi uswali kwa mola wako na utoe DHABIHU.
3-- Hakika adui yako atakuwa mkiwa.

Sasa mtu unapata heri nyingi katika maisha hapo ndipo uadui mwingi nao hujitokeza hivyo Allah anaeleza njia ya kujikinga na huo uadui nayo ni kutoa dhabihu, dhabihu ni kuchinja mnyama mwenye miguu minne unapochinja hiyo nyama unaweza kutoa sadaka au ukala wewe mwenyewe, katika hilo watu wakaongeza kutoa sadaka ya mchele pia.
 
Bora umekuja nilikuwa nataka kukutag hapa mwarabu embu tupe ufafanuzi kwahio na mimi ile nyama ulio niletea sikuku ya id nikulidishie? [emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kuitapika jirani? [emoji1][emoji1][emoji1]

Unajua katika imani siku zote tuna amini kuwa sadaka zinafungua ridhiki. Ni kweli wapo pia wanaofanya kwa lengo tofauti kama vile kumwaga damu za wanyama na kisha nyama hizo kugawa kwa watu wengine na hata wao kula pia. Maana zinakuwa hazina madhara kwa walaji.
 
Huyu ana baya mbona ananileteaga sana [emoji23][emoji23][emoji23] s
Sasa sema mwenyewe humu kama ushawahi kutoka hata kipele baada ya kula zile nyama!
20220624_130442.jpg
 
Jamii za Asia na Waarab wakikupa zawadi ya chakula usile usile usile... Kuna muhindi mmoja mshenzi akikupa zawadi ya kitu cha kula ukiichunguza vizuri ime expire.

Yaani hayo manyama na michele lazima itakuwa na kasoro... Hizo nyama unaweza kuta wameziogea na kuchambia huko.. Halafu wanawawekea kwenye friji asubuhi wanawaletea.. Au unakuta mbuzi kabla ya kuchinjwa amenuiwa maneno yote machafu ndo wamchinje

Mara nyingi kafara ni kitu ambacho tayari kina kasoro
 
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
Hela wametoa wapi, haja ya kusaidia katika elimu badala ya nyama na wanawaonaje kuhusu shida zenu nadhani ingefaa uwaulize wao wenyewe nina hakika ungepata jibu lenye uhalisia kuliko nadharia. Suala la nyie mnajiona mna shida gani na kujitolea kwao kuna faida gani kwenu nadhani mlitakiwa muulizane au mujiulize nyie mnaokwenda wenyewe kusaidiwa, kuwa msaada mnaopata unafaida gani kwenu mpaka mnakwenda kuuchukua.
 
Ukiacha sadaka pia kuna kuvuta wafuasi wa dini nyingine waje kwao.binafsi siwezi kula hayo makitu labda wanipe hela nikanunue KITI moto
Mtoa mada anasema wanyama huchinjwa na chakula hutolewa msikitini, sasa hao wafuasi wa dini nyingine hufanya ibada humo misikitini ?
 
Afrika haiendelei sababu ya hizi mindset za kupenda vya kupewapewa, mijitu imekuwa mitegemezi kiasi kwamba haitumii akili tena, bali hisia za njaa na kupenda mseleleko.

Hayo mavitu mnayopewa bure jitazameni sana tena sana, waarabu na Roho zao mbaya waanze kukusaidia mtu mweusi wasiekupenda how come? Vitu vingine hata haviitaji akili nyingi kutumia kuona ubaya/uzuri wa kitu.

Kama ni sadaka wangegawa hayo mavyakula yao kwa omba omba na sio msikitin, kama ni msaada basi wangefund wahitaj wa ada za shule, matibabu, fedha na mikopo kwa wahitaji na sio kutoa chakula chenye faida ya siku moja na hasara ya milele.

Ukiwaangalia watu wanaopenda kula hayo mavyakula hata akili zao huwa za kipumbavu, bila kusahau mafukara/masikini ndio hawa hawa wazee wa kupenda kula vitu wasivyojua vimenuiwa mambo gani.

Tazama kundi kubwa la waislam ni masikini choka mbaya, bila kusahau ufinyu wa akili, kama huamin tazama hata shule zao utaona matokeo ya wanafunzi ni hovyo.

Hao waarabu hawana tofaut na babu zao walioharibu maisha ya waafrika wa zaman, bado roho ya chuki na ushetan uko ndan mwao, that's why utawaona wakirudi kwa njia za kidini na misaada ya vyakula kwa kuita sadaka special kwa misukule yao inayoamini dini za kigeni na kupenda kupewapewa bila kufanya kazi.

Hayo mavyakula wameshafanyia dua zao za kishirikina na kukupa wew mlala hoi ule uwatimizie wao maombi yao, utabaki fukara na tegemezi wakat wao wakifanikiwa.

Tazama sana hata humu wanaojinasibu kushiriki hayo maujinga ya kula kula hata maisha yao ni hovyoo bila kusahau akili zao hovyo ndiomaana hawaambiliki hata uwaambie side effects za kula vitu vya matambiko, kwakuwa wamesharogwa na miungu ya waarabu, the same way kwa kondoo za jumapili zinazojiita wakristo kwa kushiriki tambiko la meza ya bwana, eti kula na kunywa mwili na damu ya yesu huu nao ni ushirikina vile vile.

Dini zote ni utapeli.
 
Wabongo bana
Hizo nyama hazina madhara yoyote wala,nimezila sana kuanzia utotoni huko.Hapa kuna jirani yangu ni ustadhi,yeye amewekeza kwenye kilimo cha mpunga huko ifakara,kipindi cha mavuno huwa anatugawia majirani zake debe la mchele kila mmoja.
Nilichojifunza hawa waislamu wana upendo wa dhati kwa jamii kuliko sisi wakristo...wana mapungufu yao mengine tu kama wanadamu ila swala la upendo tusiwaseme vibaya.
 
Back
Top Bottom