Tabia ya sherehe kupikiwa pilau iachwe

Tabia ya sherehe kupikiwa pilau iachwe

Ninachokereka kwenye harusi nyingi ni msosi kuwa mdogo. Yaani ukienda kwenye harusi lazima uwe umeshakula tayari. Ujinga mtupu. Enzi nikiwa mdogo kijijini harusi inafanyika nyumbani kwa mtu wanakijiji wote ruksa kuhudhuria. Na wote mnaridhika bila kulalamika. Hizi nyakati za ukumbini zimeharibu kila kitu.
Kwamba pale unaenda kujazia tu
 
Waliishaacha kupika wali/pilau waka advance wakawa wanapika mikaango tu kama chipschips, ndizindizi, nyamanyama mkaango. Kachumbari/mayonaizi na matundamatunda/mbogamboga na vinywaji kama soda/juisi/maziwa ya pakti ongeza na bia kwa walevi, ila ikawa wanalalamika bila wali/pilau hawashibi vema
Huku tabu huku pia tabu
 
Kula kama vile hautakuwa tena
Wapike tu wali/pilau sambamba na madikodiko mengine walaji wapo, kwenye bufee mtu atachagua ale nini na asile nini. Kuna watu hawana aibu ya kula huwa wanabeba kila kitu kilichopo kwenye bufee mwanzo hadi mwisho hawaruki chakula mapaka sahani inakuwa mlima na mtu anaifuta yote na kwenda kuongeza tena
 
Ukifika asubuhi unakabiziwa mandazi beseni limejaa na chai kwenye birika alafu upo peke yako 😃😃😃😃😃😃😃😃
😂😂😅😅😅😅

Harusi zetu Sisi masikini ndio watu wanakula saana

Harusi za wenye pesa yaan wanasave kidogo saana

Kutana SASA na Sisi wasukuma kutoka Mwanza 😅😅😅
 
Huyo jamaa hapo ni kilaza ila ana uwezo mno wa kuchanganya vinywaji changamishi vikaleta matokeo chanya🤣🤣
Hamada...👐🏿👐🏿👐🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿😂😂😂
 
Back
Top Bottom