bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,406
- 3,105
Wamekuweza, nasikia hukula kwako ukale vizuri kule 🤣🤣🤣Kunae harusi nilihudhuria, nilichoka vile vyakula, afu havikuiva vizuri.
Afu harusi ni ya mtoto wa mheshimiwa aliyeko mjengoni. Lol.
Wamekuweza, nasikia hukula kwako ukale vizuri kule 🤣🤣🤣Kunae harusi nilihudhuria, nilichoka vile vyakula, afu havikuiva vizuri.
Afu harusi ni ya mtoto wa mheshimiwa aliyeko mjengoni. Lol.
Umejuaje? Nilibeba na take away ya kufungasha mabaki ya vyakula. Lakini aaahWamekuweza, nasikia hukula kwako ukale vizuri kule 🤣🤣🤣
Ujamuelewa mleta uzi walevi na wanywa pombe wengi wali na pilau avipandi na bia au pombe zingine wao wana misosi yao kwao wingi wa chakula siyo ishu wala kushiba bali chakula kinacho landana na unywaji pombe hata kiwe kidogo kinatoshaSawa mkuu.
Yaan ulewe wewe utegemeee Kula kwenye harusi vizuri.
Wakati mchango wenyewe usmetusumbua saana kutoa
Wali kande na vinywaji changamishi kweli???? Ndio maana kila siku nasisitiza wapare ni viumbe sio binadamu. Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr, Mbaga Jr ERoni
Nyie wapare mnaongoza kula vitu vya hovyo Kilimanjaro mnatuaibisha ujue?Kande la Parachichi na maziwa mgando unalijua vibe lake
Pilau wapikiwe watoto....watu wazima watafutiwe mapishi tofauti na pilau na wali ...kama pilau😁😁 ni chakula cha watoto kabisa...ninashangaaga sana kuliona jitu zima na Sinia la pilau mkononi linaenda kulaWaliishaacha kupika wali/pilau waka advance wakawa wanapika mikaango tu kama chipschips, ndizindizi, nyamanyama mkaango. Kachumbari/mayonaizi na matundamatunda/mbogamboga na vinywaji kama soda/juisi/maziwa ya pakti ongeza na bia kwa walevi, ila ikawa wanalalamika bila wali/pilau hawashibi vema
Ulisonya, sasa ushakuwa legend wakushiba kabla ya bufee fake 🤣🤣🤣Umejuaje? Nilibeba na take away ya kufungasha mabaki ya vyakula. Lakini aaah
Nlichoka hatariii, 😂😂😂😂
Nyie wapare mnaongoza kule vitu vya hovyo Kilimanjaro mnatuaibisha ujue?
Dah bro 😅Kande la Parachichi na maziwa mgando unalijua vibe lake
Wagweno ni wachaga wa hovyo tulio watimua , bora nitafute mtoto wa kichagga og kabisaMakande na Parachichi ni chakula kizuri Sana.
Tafuta mtoto wa kigweno akupikie
Tatizo lenu mnavamia vyakula vya watu kupika hamjui
Pilau wapikiwe watoto....watu wazima watafutiwe mapishi tofauti na pilau na wali ...kama pilau
siku hizi sioni kabisa makande na ugali harusiniKande la Parachichi na maziwa mgando unalijua vibe lake
Na Uzuri Ni Hiari Kuchanga,HulazimishwiAkili huna mchango unatoa wa harusi hutoi ili ukale au kunywa kula na kunywa kwenu au kwa mama nitilie au restaurant au popote
Pesa za mchango unatoa kusaidia tu shughuli yao wakikupa chakula au kinywaji sawa wasipokupa sawa sio kesi bwege wewe
Dah bro 😅
Ila nitajaribu weekend sitatoka home 😂
siku hizi sioni kabisa makande na ugali harusini
Wagweno ni wachaga wa hovyo tulio watimua , bora nitafute mtoto wa kichagga og kabisa
Unapikia na parachichi au linakuwa kama side fruit ?🤓🤓
Chukua Yale maparachichi makubwa yenye mafuta yaliyoiva vizuri wanauza 1500 Mpaka elfu 2