Tabia ya sherehe kupikiwa pilau iachwe

Tabia ya sherehe kupikiwa pilau iachwe

Maharusi mengi tunayochangia yaani mtu ushapakia bia zako za kutosha unakuta msosi mkubwa ni pilau au wali wa maji.
Nanyi waafrica masikini mmezidi na sherehe, mnachukua hadi mikopo kwa ajili ya sherehe, mkome.
 
Ninachokereka kwenye harusi nyingi ni msosi kuwa mdogo. Yaani ukienda kwenye harusi lazima uwe umeshakula tayari. Ujinga mtupu. Enzi nikiwa mdogo kijijini harusi inafanyika nyumbani kwa mtu wanakijiji wote ruksa kuhudhuria. Na wote mnaridhika bila kulalamika. Hizi nyakati za ukumbini zimeharibu kila kitu.
 
Dah napenda sana lile vibe la harusi, ukute pombe sio za kupangiwa ,warombo nawaheshimu nchi nzima kwa hili
 
Waliishaacha kupika wali/pilau waka advance wakawa wanapika mikaango tu kama chipschips, ndizindizi, nyamanyama mkaango. Kachumbari/mayonaizi na matundamatunda/mbogamboga na vinywaji kama soda/juisi/maziwa ya pakti ongeza na bia kwa walevi, ila ikawa wanalalamika bila wali/pilau hawashibi vema
 
Mchawi hapo ni kaka Mshana Jr tu na ameshaokoka hao wengine ni vibaka tu😁
leo ndo utaelewa kama kaokoka ama umeliokota!, ukienda kulala usisahau kulala na mfupa wa ngurewe alasivyo utakuwa umejitangazia vita na unaemuita muokokaji, kauli mbiu yake sasahivi ni "kazi ni kipimo cha utu!"..🤣
 
Nampa ruksa ya kuniloga , nitadunduliza nimlipe bro😄
 
Wapike tu wali/pilau sambamba na madikodiko mengine walaji wapo, kwenye bufee mtu atachagua ale nini na asile nini. Kuna watu hawana aibu ya kula huwa wanabeba kila kitu kilichopo kwenye bufee mwanzo hadi mwisho hawaruki chakula mapaka sahani inakuwa mlima na mtu anaifuta yote na kwenda kuongeza tena
 
Aiibu ni adui namba moja kwa mtanzania niamini mimi bro.
 
Wapike tu wali/pilau sambamba na madikodiko mengine walaji wapo, kwenye bufee mtu atachagua ale nini na asile nini. Kuna watu hawana aibu ya kula huwa wanabeba kila kitu kilichopo kwenye bufee mwanzo hadi mwisho hawaruki chakula mapaka sahani inakuwa mlima na mtu anaifuta yote na kwenda kuongeza tena
😂😂😅😅😅😅

Harusi zetu Sisi masikini ndio watu wanakula saana

Harusi za wenye pesa yaan wanasave kidogo saana

Kutana SASA na Sisi wasukuma kutoka Mwanza 😅😅😅
 
Back
Top Bottom