Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,566
- 91,861
Kaka jiangalie sana ,unapotaja neno wachaga hata kwenye nyuzi zako😁😁
Wachagga kwenye mapishi zaidi ya kuchoma nyama huko kwingine mnaloweka au kuchemsha tuu.
Wachagga hawawezi kuwazidi Wapare kwa mapishi.