Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
New member wa simu za kupyata (smart phone) Pole
namaanisha matumizi yako ndio chanzo cha kumaliza chajiAsee kuhusu kuzima data au kutokuzima kwamba inachangia kumaliza battery hio sio case sana, matumizi yako ya simu ndio chanzo cha kumaliza data na mkae mkijua kwamba 60% ya kinachomaliza chaji ni DISPLAY.
Wewe ndio mtumiaji wa smart phone.
We kijana tatizo lako la kunuka pu.m.b.u limeisha?Thread zangu ni kali, mafuriko lazima.
Ukizima data unakuwa umeokoaje umasikini wakati ukiwasha tu inakula zile zote ambazo ulikuwa umezisubirisha?
dah! jamani ukweli nini?New member wa simu za kupyata (smart phone) Pole
Mtoa mada hajielewi
Huku ndio kukurupuka. Watu wengi wanazima data kuokoa betri na hata wakiwasha data wanakuwa wapo karibu na charger/umeme!
Tusipangiane!
Duh cm yng ,,bando langu bado unanipangia em pita kule
Msameheni huyu kijana ni mgonjwaHata waliotengeneza Smart phone huwa wanazima data.
Ndio maana waliweka Option ya kuzima na kuwasha data.
My clever sisterKumbuka sio wote wazembe. ...
Kuna settings zinakuruhusu kufanya vingine manually. ....
Kuzima data au kuwasha ni kitu binafsi sasa usitake kuingilia watu kwani hata siku wananunua simu ulikuwa hujui.Acha kuwapangia watu maisha weweAlafu unajiona mjaaaaanja kwamba eti umezuia charge na bando visitumike sana wakati muda utakaowasha data tu mwendo ni ule ule tena hapa ndiyo resource consumption itaongezeka maradufu, yani Betri, Memory, Cpu na Bando lako ndio vitaliwa kwa kasi ya ajabu sana utakuwa umesababisha mzigo mkubwa na mafuriko ya data kwa sababu:
- Kama ni chaji ndio utaona betri yako kama inawaka moto vile na asilimia sitakuwa zinapukutika kama pumba kwenye upepo.
- Kama ni meseji za whatsapp, imo na mitandao mingine zitaingia zote kwa mkupuo
- Kama ni emails zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni notifications zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni alerts zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni downloads zitaendelea kushuka zote kwa mkupuo.
Yani chochote kile ambacho kilitakiwa kuingia ukakizuia kwa kuzima data kitajipanga kwenye foleni ukiwasha tu data, kimo. Huna pa kutokea. Ndiyo maana mtu anashangaa alikuwa na kifurushi lakini kimeisha ndani ya sekunde 10 anabaki tu kuwalaumu tigo, voda, airtel, ttcl, halotel, smart na wengine wote kumbe ni USHAMBA wako tu.
Najua nitakuwa nimerusha mkuki kwenye giza, mamilioni wanavuja damu huko ila naomba mnisamehe. Mtumiaji wa smart phone hawezi kuzima data na nawaozima data wengi wamejikuta tu wamekurupuka kununua hizi simu bila kujua kwanini wamenunua. Kuzima data ni bora uuze smart phone ukanunue ile ya tochi.