magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 13,267
- 31,842
Zile zote nini, funguka?!Ukizima data unakuwa umeokoaje umasikini wakati ukiwasha tu inakula zile zote ambazo ulikuwa umezisubirisha?
Zile zote nini, funguka?!Ukizima data unakuwa umeokoaje umasikini wakati ukiwasha tu inakula zile zote ambazo ulikuwa umezisubirisha?
Kwa mujibu wa mleta mada jibu ni ndiyo. Na inawezekana akawa anaamini pia kuzima TV ni ushamba pia.Kwa hiyo kuacha data ziko on ni ujanja???
Kwa mujibu wa mleta mada jibu ni ndiyo. Na inawezekana akawa anaamini pia kuzima TV ni ushamba pia.






Kwani sasa umejiunga kifurushi cha internet kama lengo ni kuokoa mfuko wako. Ukizima data kwani hutawasha baadae na kurudi kwenye umasikini ule ule uliokuwa unaukwepa mwanzo?Zile zote nini, funguka?!
Mkuu hoja zako hazima mashiko. Tunazima data kwa ajili ya mambo mengi, usikariri chatting. Kubali ukatae kiwango cha chaji kinachokuwa consumed kipind data iko off ni tofauti kabisa na kipindi data iko on. Sasa kama naweza nikasave battery yangu japo hata kwa 5% zaidi kwa kuzima data kwanini nisifanye hivyo. Imagine uko safarini na unayahitaji sana mawasiliano pindi utapofika, kwanini usizime data. Najua utakimbilia kusema mbona power bank kama unavyong'ang'ania vifurushi vya chuo. Vipi kwa wale wasiopenda kujibebesha mizigo isiyo ya lazima na inayoepukika.Kwani sasa umejiunga kifurushi cha internet kama lengo ni kuokoa mfuko wako. Ukizima data kwani hutawasha baadae na kurudi kwenye umasikini ule ule uliokuwa unaukwepa mwanzo?
Mtoa wazo hajaangalia hilo.Kumbuka sio wote wazembe. ...
Kuna settings zinakuruhusu kufanya vingine manually. ....
SMArtphone nyingi ukitOa tecno miezi 3 toka dukani, they barely make 8hrs with data on..............Mkuu hoja zako hazima mashiko. Tunazima data kwa ajili ya mambo mengi, usikariri chatting. Kubali ukatae kiwango cha chaji kinachokuwa consumed kipind data iko off ni tofauti kabisa na kipindi data iko on. Sasa kama naweza nikasave battery yangu japo hata kwa 5% zaidi kwa kuzima data kwanini nisifanye hivyo. Imagine uko safarini na unayahitaji sana mawasiliano pindi utapofika, kwanini usizime data. Najua utakimbilia kusema mbona power bank kama unavyong'ang'ania vifurushi vya chuo. Vipi kwa wale wasiopenda kujibebesha mizigo isiyo ya lazima na inayoepukika.
Kwa muktadha wako washamba sio wale wanaozima data ila wale walioweka hiyo switch ya kuzima na kuwasha data. Sasa nikuulize unaamini hao Tecno, Huawei, Samsung, Iphone na wengineo ni washamba?! Kama jibu lako ni ndio nitakuwa sina msaada tena. Am out.
Huku ndio kukurupuka. Watu wengi wanazima data kuokoa betri na hata wakiwasha data wanakuwa wapo karibu na charger/umeme!Alafu unajiona mjaaaaanja kwamba eti umezuia charge na bando visitumike sana wakati muda utakaowasha data tu mwendo ni ule ule tena hapa ndiyo resource consumption itaongezeka maradufu, yani Betri, Memory, Cpu na Bando lako ndio vitaliwa kwa kasi ya ajabu sana utakuwa umesababisha mzigo mkubwa na mafuriko ya data kwa sababu:
- Kama ni chaji ndio utaona betri yako kama inawaka moto vile na asilimia sitakuwa zinapukutika kama pumba kwenye upepo.
- Kama ni meseji za whatsapp, imo na mitandao mingine zitaingia zote kwa mkupuo
- Kama ni emails zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni notifications zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni alerts zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni downloads zitaendelea kushuka zote kwa mkupuo.
Yani chochote kile ambacho kilitakiwa kuingia ukakizuia kwa kuzima data kitajipanga kwenye foleni ukiwasha tu data, kimo. Huna pa kutokea. Ndiyo maana mtu anashangaa alikuwa na kifurushi lakini kimeisha ndani ya sekunde 10 anabaki tu kuwalaumu tigo, voda, airtel, ttcl, halotel, smart na wengine wote kumbe ni USHAMBA wako tu.
Najua nitakuwa nimerusha mkuki kwenye giza, mamilioni wanavuja damu huko ila naomba mnisamehe. Mtumiaji wa smart phone hawezi kuzima data na nawaozima data wengi wamejikuta tu wamekurupuka kununua hizi simu bila kujua kwanini wamenunua. Kuzima data ni bora uuze smart phone ukanunue ile ya tochi.
Kwani tunazima data kwa ajili ya kutunza data au charge!