Weka Silence au Mute simu yako.Wengine hatutaki kupata notifications tunapokua busy ndio maana tunazima data
Mkuu nimekupata. Msamaha kapata kwa heshima yako.Msameheni huyu kijana ni mgonjwa
Ni miaka 15 sasa tangia nianze kunuka sehemu za huku chini

Pamoja na kutoa sababu za kudhurika kwa simu au huduma kutokana na kuzima daya, hujaelezea advantages zake.Alafu unajiona mjaaaaanja kwamba eti umezuia charge na bando visitumike sana wakati muda utakaowasha data tu mwendo ni ule ule tena hapa ndiyo resource consumption itaongezeka maradufu, yani Betri, Memory, Cpu na Bando lako ndio vitaliwa kwa kasi ya ajabu sana utakuwa umesababisha mzigo mkubwa na mafuriko ya data kwa sababu:
- Kama ni chaji ndio utaona betri yako kama inawaka moto vile na asilimia sitakuwa zinapukutika kama pumba kwenye upepo.
- Kama ni meseji za whatsapp, imo na mitandao mingine zitaingia zote kwa mkupuo
- Kama ni emails zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni notifications zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni alerts zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni downloads zitaendelea kushuka zote kwa mkupuo.
Yani chochote kile ambacho kilitakiwa kuingia ukakizuia kwa kuzima data kitajipanga kwenye foleni ukiwasha tu data, kimo. Huna pa kutokea. Ndiyo maana mtu anashangaa alikuwa na kifurushi lakini kimeisha ndani ya sekunde 10 anabaki tu kuwalaumu tigo, voda, airtel, ttcl, halotel, smart na wengine wote kumbe ni USHAMBA wako tu.
Najua nitakuwa nimerusha mkuki kwenye giza, mamilioni wanavuja damu huko ila naomba mnisamehe. Mtumiaji wa smart phone hawezi kuzima data na nawaozima data wengi wamejikuta tu wamekurupuka kununua hizi simu bila kujua kwanini wamenunua. Kuzima data ni bora uuze smart phone ukanunue ile ya tochi.
Inajitokeza yenyewe automatic.Sawa mkuu kwani ukioa unapewa na button ya kuzimia data
Elimu unayoitoa ni maridhawa na muafaka ktk jamii ila punguza lugha ghadhabishi. Dawa ikiwa chungu hachanganywa na asali.Alafu unajiona mjaaaaanja kwamba eti umezuia charge na bando visitumike sana wakati muda utakaowasha data tu mwendo ni ule ule tena hapa ndiyo resource consumption itaongezeka maradufu, yani Betri, Memory, Cpu na Bando lako ndio vitaliwa kwa kasi ya ajabu sana utakuwa umesababisha mzigo mkubwa na mafuriko ya data kwa sababu:
- Kama ni chaji ndio utaona betri yako kama inawaka moto vile na asilimia sitakuwa zinapukutika kama pumba kwenye upepo.
- Kama ni meseji za whatsapp, imo na mitandao mingine zitaingia zote kwa mkupuo
- Kama ni emails zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni notifications zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni alerts zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni downloads zitaendelea kushuka zote kwa mkupuo.
Yani chochote kile ambacho kilitakiwa kuingia ukakizuia kwa kuzima data kitajipanga kwenye foleni ukiwasha tu data, kimo. Huna pa kutokea. Ndiyo maana mtu anashangaa alikuwa na kifurushi lakini kimeisha ndani ya sekunde 10 anabaki tu kuwalaumu tigo, voda, airtel, ttcl, halotel, smart na wengine wote kumbe ni USHAMBA wako tu.
Najua nitakuwa nimerusha mkuki kwenye giza, mamilioni wanavuja damu huko ila naomba mnisamehe. Mtumiaji wa smart phone hawezi kuzima data na nawaozima data wengi wamejikuta tu wamekurupuka kununua hizi simu bila kujua kwanini wamenunua. Kuzima data ni bora uuze smart phone ukanunue ile ya tochi.
We kijana tatizo lako la kunuka pu.m.b.u limeisha?