Tabia ya kuzima data ni ushamba

Tabia ya kuzima data ni ushamba

Wengi tunazima ku save battery lkn kuna wengi pia wanadhani kuzima data ni kusave bundle !hao wanajidanganya maana soon after switching on mafuriko yana fuata ila kuna app nyingi za ku freeze app ambazo huzihitaji kwa kipindi husika unaweza kutumia badala ya kuzima data nakuzuia shughuli nyingine kuendelea ila once uko hewani mambo yatakuwa yaleyale zile sms na emails za juzi zitaanza kuingia , ila bado sijajua ukiwa off line mudagani meseji kama za whatsapp zitapotea?hapo wajuvi mnisaidie.
 
Nikizima data kwenye simu yangu naona haina ishu ya kufanya kusema kweli,naona simu haijakamilika
 
Back
Top Bottom