Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Ndugu zanguni,
Ukiona unamfukuzia mwanamke alafu yeye ndio kwanzaa anakazana kukuita majina yenye kuonyesha heshima flani hivi ikiwemo majina ya kuitwa Kaka sijuu rafikii...ndugu zinduka huna chako hapo.
Ni wachache sana wanakuwa na huruma ya kukufanya upate angalau tunda la uvunguni bila hivyo zinduka aisee.
Siku njema.