fikikungetaa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2015
- 331
- 79
CD4 zimeshuka
Hapa umemaliza kila kitu kiongozi kwani shida yake ni punda au mlio?
Sasa mtu akikuita kaka ndiyo anakuwa dada yako wa damu?! Anyway wewe jua watu wanaitwa kaka na wanapiga mzigo. Nini kaka kuna watu wanaita mama/baba na game inapigwa vilevile. As long as hakuna uhusiano wa damu hayo ni majina tu kama Musa na Juma.Kwa hiyo unaweza kumla hata Dada yako? maana si anakuita Kaka?
Hapa napo umeniacha nikiw ana maswali mengi, inamaana kuitwa Kaka hufikirii zaidi ya hapo?unaweza kusex na mdogo/Kaka yako?
Hahaha naam
kwa hiyo hamtaki kuheshimiwa, sawa
Mbona mi naitwa dadii?!